yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga imebadilisha makocha mara tatu na bado imetwaa vikombe vyote msimu 2024/25

    Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
  2. JamiiForums Tanzania Huyu Kocha Mpya wa Yanga-Folz , hafikishi Christmas ya Mwaka huu 2025

    Huu uzi utunzwe. Sababu ni umri mdogo sana, sio rahisi aweze kuhimili pressure kubwa ya mpira wa Tanzania. Na hana mafanikio yoyote kimpira. Labda kama Uto wamemleta kwa majaribio. Hatoboi popote. Ibenge na Faldu watamnyoa mapema sana! Utopolo watamfukuza.
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba sports club inataka kumsajili mshambuliaji wa singida black stars, Jonathan sowah, Je ni chaguo sahihi kwa Simba sc baada ya Yanga kumkacha?

    Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
  6. JamiiForums Tanzania Kama Yanga ni timu kubwa na inafanya vyema kwanini kila mwaka inaanzia Shule ya Msingi CAFCL na Simba isiyofanya vyema inaanzia Chuo Kikuu CAFCL?

    Kazi yangu kubwa leo ni kusoma tu Comments zenu ili nicheke na nisikitike.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kuiga ujinga wa Simba kusifia usajili Mpya

    Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
  8. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga ni wanafiki sana

    Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe", Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂 acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
  9. JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  10. JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnaoshadadia Simba na Yanga nazo zicheze saa nane hoja zenu hazina mashiko.

    Kwamba ndio italeta usawa kwenye ligi,hapana nakataa. Yapo mengi tu ya kurekebisha yanayokiukwa kuleta usawa badala ya kulazimisha wenzenu wakaungua na jua eti huo ndio usawa.Huo usawa roho mbaya?. Mmekuwa kama chongo anayetamani Mwingine naye apoteze jicho ndio aone wapo sawa.Kama kucheza...
  11. JamiiForums Tanzania Simba yatozwa milion 3 kwa imani za kishirikina kwenye mchezo dhidi ya Yanga ilipofungwa 2-0

    Klabu ya Simba Sc imetozwa faini ya jumla ya Tsh milioni tatu kwa makosa matatu waliyoyafanya katika mchezo namba 184 wa Derby ya Kariakoo dhidi ya Yanga Sc uliomalizika kwa Yanga Sc kushinda 2-0 katika dimba la Benjamin Mkapa mnamo Juni 25, 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya leo Julai 17, 2025 ya...
  12. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa yanga ni Romain Folz (35yrs old )

    I will be short This is streets news , the manager has no any accomplishments. Why yanga chose him ?? We don’t know .
  16. JamiiForums Tanzania Sisi mashabiki wa Yanga tunasimama na Mangungu, TFF iingilie kati wanaotaka kumtoa, Mangungu mitano tena, Mangungu for Life

    Tumesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya mashabiki kutaka kumchafua na kumlazimisha Mh. Mangungu, Mtu wa maana kabisa! Mtanzania mwenzetu aliyepata nafasi yake kihalali kabisa, Mtu wa watu, Mtu makini, Bila yeye leo hii Ligi yetu ingepata wapi burdani saaafi kutoka kwa SGR Budo sanchez...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Yanga Tunakwama Wapi Kwenye hizi Ranking Za CAF.?

    Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa.. Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa... Pale CAF zile ranking zinaeleweka ? Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.? 1. Al Ahly 2. Mamelod Sundown 3. Esperance de Tunis 4. Rs Berkane 5. Simba 6. Pyramids 7. Zamalek 8. Wydad...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa ni kama Yanga hana mpinzani katika kila kitu hapa nchini likiwepo suala la usajili

    Mimi ni mpenzi wa Simba lazima nikiri wazi. Kwq namna taarifa zinavyokuja kama tetesi,sizitofautishi sana na zile za mwaka jana. Mashabiki wengi wa Simba hawakuwa wanaamini kwamba Chama atasajiliwa yanga. Lakini sote tuliona jinsi Hersi anavyoweza kufanya atakalo. Yanga wana uwezo wa kuanzisha...
  19. JamiiForums Tanzania Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…