yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Wengi hamtaamini lakini Simba na Yanga wote hawapenyi robo fainali, kwa sababu hii

    Simba anacheza na Horoya ambayo inakuja kutafuta draw kwa Mkapa, kwa forward za Simba zilivyo, Horoya ana uwezekano wa 80% ambao ni mkubwa sana wa kupata draw Mechi ya mwisho anacheza nyumbani dhidi ya Vipers ambayo hawana cha kupoteza Yanga anatakiwa kumfunga Monastir, nasisitiza sio draw...
  2. JamiiForums Tanzania Tunaopenda soka kwelikweli Bila Unafiki tunaziombea Simba na Yanga ushindi katika Michezo hii ya Weekend.

    Naam Habarini za Jumamosi Wanajukwaa. Leo ni siku Murua kabisa kwetu sisi wapenda soka tena lile soka zuri lisilo na Makolokolo,Soka lisilo na Mara Refa kafanya hiki Mara shirikisho limependelea fulani si hatupendi hayo. Sisi wote kwa pamoja kama Chama cha wapenda soka la kweli tunaziombea...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga watalipa kisasi kimataifa wikendi hii?

    Simba atamkaribisha Horoya Jumamosi hii pale kwa Mkapa huku Yanga atamkaribisha Monastir siku ya Jumapili! Ikumbukwe Simba alichapwa bao 1-0 na Horoya ugenini na Yanga alilazwa bao 2-0 na Monastir ugenini! Wale wazee wa mikeka ya Sokabet, Nipeni muongozo maana nataka nipige zangu pesa tu...
  4. JamiiForums Tanzania Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga yatakiwa kumlipa Luc Eymael Sh. 340m, wakishindwa kufungiwa kusajili

    Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai yake. Na badala yake, Eymael ameiambia Mwanaspoti kuwa uamuzi uliotolewa na FIFA ni kuishinikiza Yanga kulipa madai...
  6. JamiiForums Tanzania Ili Simba na Yanga zitoboe ziache kuombeana mabaya mechi za kimataifa.

    Simba na Yanga wakizifunga timu za nje ya nchi furaha Yao isiwe kweñye madirisha ya nyumba za washabiki wa Simba au Yanga. Wafurahie bila kuitaja Yanga au Simba. Hii itaukata mnyororo wa timu hizi kuhujumiana kwenye mechi za kimataifa. Ili mpira wetu ukue lazima timu zetu zifanye vizuri...
  7. JamiiForums Tanzania Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  8. JamiiForums Tanzania Yanga SC, pale Kenya (Gor Mahia) kuna kijana mdogo tu wa miaka 21 anaitwa Benson Omala

    Ingekuwa poa sana kama mngefuatilia mwenendo wake. Maana katika michezo 19 ya Ligi yao pale Kenya mpaka sasa, tayari ameshatupia goli 19!! What a striker katika umri wake huo wa miaka 21 tu!! Dogo ana nguvu, anafunga kwa miguu yote!! Imagine ameanza kucheza ligi kuu akiwa bado ni mwanafunzi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

    Yanga ana point 7, mchezo unaofuata dhidi ya Union sportive de monastr hawawezi kushinda labda draw au kupigwa. Tufanye katoa draw anafikisha point 8... Mazembe akimfunga Real Bamako anafikisha point 6, mchezo wa mwisho ni Lubumbashi trust me Yanga anakufa Mazembe anakuwa na point 9, Yanga 8...
  10. JamiiForums Tanzania Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

    Nawakumbusha tu vijana. Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao. Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa club ya Yanga kawatoa hofu ubingwa wa CAF ni lazima jangwani

    "Sisi ndio tutakuwa timu ya Kwanza kutoka kwenye ardhi ya Tanzania kulileta Kombe la CAF nchini Inshallah, Jumapili tukifanikiwa kutinga Robo fainali nina Imani tutavuka na kwenda Nusu fainali , baadae Fainali na Inshallah sisi ndio itakuwa timu ya Kwanza kushangilia taji hili"" Wananchi msiwe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mayele aushukuru uongozi wa yanga

    Mshambuliaji wa @yangasc1935 Fiston Mayele ameushukuru uongozi wa timu hiyo pamoja na benchi la ufundi kwa kumuamini na kumpa nafasi ya kudhihirisha kipaji alichokuwa nacho. Kinara huyo wa mabao wa Yanga, amesema mafanikio aliyokuwa nayo hivi sasa yanatokana na imani ya pande hizo mbili na...
  13. JamiiForums Tanzania Wasemaji wa team ya Simba na Yanga wamenishangaza sana leo!

    Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa kutowaita Kapombe na Tshabalala Taifa Stars na kuita Wengi wa Yanga SC naiombea Laana ifungwe

    Yaani Mabeki Kapombe na Tshabalala wanaopambana Klabu Bingwa Wanaachwa na Kuitwa Mabeki wanaocheza Shirikisho? Halafu unaita Wachezaji wa Yanga SC Sita huku wa Timu inayoshiriki Klabu Bingwa Afrika Simba SC ukiita Wachezaji Watatu tu na unadhani hakutokuwa na Shida? Tafadhali GENTAMYCINE...
  15. JamiiForums Tanzania Wale ambao mlinishambulia hapa JamiiForums December 2022 niliposema Yanga SC Bingwa tena Msimu huu mpo wapi?

    Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa? Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha kwa Alama Tano tulishindwa Kuwakuta je, leo tumebakiza Mechi Sita ndiyo tunajidanganya kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga mna Juhudi, ombeni mpewe majaaliwa!

    Mnaiona kama vile Simba haina fowadi wa kueleweka, lakini ndiyo inayoongoza kwa kufunga magoli mengi kwenye Ligi kuu Tanzania. Mnaiona simba kama vile ni timu dhaifu lakini Simba na Yanga zote zilikuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ikashindwa kufuzu hatua ya Makundi, Simba ikafuzu. Leo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  18. JamiiForums Tanzania Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

    Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261. Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga wadhibitiwe, watazimaliza hela za Mama

    Tangu Rais Mama Samia Suluhu Hassan atangaze motisha ya shilingi milioni tano kwa kila goli litakalofungwa na Simba au Yanga kwenye michuano ya kimataifa, Yanga wamekuwa watu wa 'kutaka sifa'. Wamekuwa wakichota mamilioni kwenye kila mchezo. Wakati watani zetu Simba hadi sasa wakipata milioni...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoonesha Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu

    Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu; 1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha. 2. Kuendelea kuwaamini wazee kwenye kikosi. 3. Usajili mbovu - timu ilijisifu kupata uwekezaji mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…