yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga Hersi na Msemaji Kamwe wana Yanga SC, tunauliza tukiwa Tunisia tusimame Kushangilia dakika ya ngapi?

    Nimehakikishiwa kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe nyote mnanisoma na kunifuatilia Kutwa ( 24/7 ) GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo natumai mtanijibu mwana Yanga SC Mwenzenu hili Swali langu. Cc: Ulimakafu
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kwa Body Language ya Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini Tunisia watapona kweli?

    Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia wala hupati shida kujua kuwa Wameshafungwa na Kutolewa rasmi katika CAFCC hivyo watarejea Kuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC na Uongozi wao haujakanusha kauli ya shabiki mwenzao kuwa ushindi wao NBC ni wa Tigo Pesa tu?

    Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  5. JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda Kuchinjiwa mazima kwa Matokeo ambayo anaenda kuyapata Jijini Tunis nchini Tunisia katika Mechi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  7. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga sc kama mnataka tumpige mwarabu nyingi jumatano rekebisheni hapa

    Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa. Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi? Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi kuna goigoi wa akili anawaza kabisa kuwa leo Yanga SC itafungwa na Geita Gold FC kule CCM Kirumba?

    Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC. Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye akatudindia na gap likaendelea kuwa la alama (points) tano (5). Na ndiyo maana GENTAMYCINE kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wenzangu wa kuweka mizigo (betting) hembu njoeni tuzijadili hizi point alizopewa Yanga sc dhidi ya Geita Gold leo hii.

    Mazee hapa kuna kamtego nini nikitia kamilioni nikimpa yanga si nitanemeka, alafu kama kuna kitu kinaniambia acha ujinga 😂😂
  11. JamiiForums Tanzania Yanga SC wamefanikiwa 100% kwa hii 'Unbeaten Record' yao na 'Propaganda' madhubuti

    Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa. Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo tunaweza kudhani kwa wao kuikuza hii 'Unbeaten Record' yao katika Ligi Kuu ya NBC nchini Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

    Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC? Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga Sc yaachana na Kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi, leo Oktoba 25, 2022

    Kuna tetesi zimeibuka leo 25/10/2022 zinadai kuwa Yanga imeachana na kocha wake Mkuu Nasreddin Nabi. Tetesi hizi zimeshika kasi baada ya kuchapishwa na Gazeti la Mwanaspoti pamoja na kutumwa kwenye mitandao ya kijamii. Mpaka kufikia saa saba mchana Uongozi wa Yanga, umeendelea kuwa kimya na...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

    YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI. Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke Anaandika Jemedari Saidi Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote. Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  16. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe ongeza uchangamfu ukiwa unaongea redioni

    Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
  17. JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC mapema kuhusu kujidanganya kuwafunga Club Africaine katika CAFCC 'Knockout Stage' kwa Mkapa

    1. Acheni kabisa kujidanganya kuwa kwa kuwa Kipanga FC ya Zanzibar alitoka nao suluhu (sare isiyo na magoli) basi hawa wapinzani wenu Club Africaine ya nchini Tunisia mnawaweza na mtawafunga. 2. Dhambi ile ile mliyoifanya kwa Al Hilal FC kwa kuwadharau na kujiona ni wakubwa kuwa mngewafunga...
  18. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Yanga SC yetu tulimsajili Aziz K kwa Tsh. milioni 550 aje acheze Shirikisho kwa walioshindwa?

    Wana Yanga SC wenzangu karibuni tulijadili hili tafadhali, na ikiwezekana tuandamaneni hadi klabuni au ofisi za GSM tukamwambie Rais Injinia Hersi Said kuwa hatumtaki, tumemchoka na atuachie Yanga SC yetu haraka (upesi) sana.
  19. JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini wana Yanga SC wengi baada ya Msudani kuwafanya kitu mbaya wameangukia katika kauli hii ili kujifariji?

    "Sawa tumetolewa rasmi Klabu Bingwa, ila Jumapili ijayo tarehe 23 Oktoba 2022 Simba SC watatukoma kwa Mkapa" mashabiki wa Yanga SC. Nami GENTAMYCINE nawauliza wana Yanga SC je, mkiikamia hivi Simba SC na kuifunga hiyo tarehe 23 Oktoba, 2022 ndiyo mnatinga hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa (CAFCL...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…