yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Dabil

    Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

    Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex. Hii ni tuhuma nzito...
  2. Waufukweni

    Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

    Wakuu Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
  3. Komeo Lachuma

    Gamondi hamalizi huu Msimu. Ama sivyo Uongozi uangalie namna ya kuifanya Yanga ituletee furaha

    Gamondi ana muda mchache sana Yanga. Naona lile wazo kuwa tumwachie yeye ajipange mwenyewe linakuwa gumu sasa. Gamondi alianza kupandisha mabega akidhani yeye ndo yeye. Huyu ataondoka ama sivyo akubali sasa kuwa yeye ni wa kawaida viongozi wanambeba sana kwenye ushindi na michakato yake. Hawezi...
  4. M

    Ni wazi kuwa utawala wa Gamondi na Pep Guardiola umefikia tamati

    Man City na Yanga Afrika ni miongoni mwa timu zenye kiburi na jeuri katika ulimwengu wa Soka nchini Uingereza na Tanzania kwa ujumla. Sasa hivi utawala wao umefikia ukingoni kutokana na kupokea mfululizo wa vipigo kutoka kwa timu kama Bournemouth na Tabora United. Soma Pia: Full Time: Yanga...
  5. covid 19

    Viongozi wa Yanga mmefanya makosa sana kurudi Chamazi kucheza pale, ule uwanja hautufai

    Ni jambo la kusikitisha na uzuni sana wachezaji wetu wamepigwa usinga tayari pale Azam Complex hatutakiwi kurudi pale hadi tujiweke sawa. Tulishawaambia kabla ya match ya Azam VS Yanga wazee kutoka Pemba walikuwa wanausomea ule uwanja wiki zima bado midawa yao inanguvu kwa sasa pale hapatufai...
  6. C

    Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  7. Metronidazole 400mg

    Yanga ni timu ya kawaida sana, ilikuwa bora ila inashuka kwa kasi kupitia maelezo

    Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa 1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha 2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa...
  8. Waufukweni

    Rais Samia aipongeza Tabora United kwa kuifunga Yanga bao 3-1

    Rais Samia Suluhu Hassan ameipongeza Tabora United kwa ushindi wao dhidi ya Yanga kwenye Ligi Kuu, akisisitiza kuwa ushindi huo unachangia kuvutia uwekezaji na ajira katika ligi. Pia, Soma: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Aidha...
  9. kavulata

    Yanga bila uwanja wenu acheni nyodo, mtafungwa TU kwenye viwanja vya watu

    Huwezi kuwa unatumia uwanja wa watu halafu unawatukana wenye uwanja wao. Ally Kamwe ajiangalie la sivyo hatoshi Yanga. Unatumia uwanja wa Azam lakini unadhihaki wenye uwanja ni ujinga mkubwa.
  10. Mkalukungone Mwamba

    Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: 🕖 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  11. UMUGHAKA

    Gamondi kesho ukiendelea kusikiliza Hip Hop na kutupilia mbali wabana pua,Tabora atakuchezesha amapiano

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nadhani kama ni kushauri nimeshauri sana!,sijajua kama viongozi wangu wa timu pendwa Afrika Kwa Sasa ya Yanga huwa wanapata wasaa wa kupita huku JF na kuokota chochote kitu kutoka Kwa wadau ili kumfikisha Gamondi kichwa kigumu Yale yote tunayotaka...
  12. Thabit Madai

    Kesho Yanga hapiti mlango wa nyuma

    Yanga sio timu kubwa bali ni timu kongwe, Sisi na Yanga hatutofautiani kwakuwa wao wanalala kwenye hotel ya nyota 5 na sisi tunalala hotel ya Nyota 5, Sisi tuna Bus kubwa kuliko wao kwahiyo sisi hatuwatazami Yanga kama timu inayotuzidi sana. Yanga ni wabinafsi sana na wanataka kushinda kila...
  13. MwananchiOG

    Bodi ya Ligi mnatengeneza mazingira Simba kuchukua ubingwa, Kwanini mechi iahirishwe na wengine wafululize michezo licha ya ugumu wa ratiba?

    Inasikitisha sana kuona bodi ya Ligi inakosa uweledi kiasi hiki, Yanga imecheza michezo yake minne mfululizo bila kupumzika, tena ikisafiri hapa na pale, Pamoja na ugumu wote huo bado haikupatiwa uwanja wa Mkapa kama uwanja wa nyumbani, wala haukusikia mchezo umeahirishwa au kusogezwa mbele...
  14. Kichuguu

    Yanga imenifedhehesha sana

    kama manvyojua mimi ni Yanga ndani ya jamii ya makolo; ndugu zangu wote ni kolo tupu. Yanga ilipofungwa na Azam, ndugu zangu walinizomea sana na kudhani kama vile wao ndio wameshinda. Nikawaambia kuwa bado sisi tuna mchezo mmoja na tunaongoza ligi lakini hawakunisikiliza, yaani wao walifurahia...
  15. M

    Yanga mmetuonesha ubora wenu, nakubali hakuna timu inaweza kupishana na nyie uwanjani ikapona. Fitness na team work yenu ni ya viwango vya juu!

    Mechi ya jana imetuonyesha ubora wa Yanga kuanzia fitness level yao mpaka team work yao ni ya viwango vya juu sana! Tumezoea team mojawapo inapokuwa pungufu kwa mchezaji Mmoja mara nyingi uwa inafanya sub za kulinda zaidi kwenye eneo lake ili kukabiliana na mpinzani husika lakini jana ilikuwa...
  16. L

    Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
  17. osc michael

    Sababu zilizopelekea Yanga SC kupoteza dhidi ya Azam FC

    1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija. 2.Uchovu wa mechi iliyopita. 3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita. 4.Wamekosa ufundi wa strikes 5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills. 6.Refa leo hakuweza kumudu...
  18. GENTAMYCINE

    Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  19. GENTAMYCINE

    Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  20. GENTAMYCINE

    Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
Back
Top Bottom