Chama cha Alliance Democratic Change (ADC) kimeungana na viongozi wa juu wa nchi kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushamiri katika baadhi ya maeneo nchini, vikihusisha raia wa kawaida, watoto, na hata wanasiasa.
Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa chama hicho wa...