yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

    Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi). Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka. Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unahitaji miaka mingapi ili ufanikiwe kupitia kazi yako?

    Haya nimejifunza mimi kupitia shughuli zangu na kuwaona pia wengine kwenye shughuli zao. Mafanikio ni mchakato na kila kazi ina njia zake kuna kazi zinamafanikio ya haraka na hata kupotea huja kwa haraka sana kupitia kazi zangu tatu ninazofanya nimejifunza haya. 1. Biashara, hii ni kazi ngumu...
  3. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    SMS-marketing ni zana muhimu sana katika mazingira ya biashara ya leo, na hata katika shughuli za kijamii kama vile sherehe. Kipindi hiki cha utandawazi kinahitaji njia za mawasiliano ambazo ni haraka, za moja kwa moja na zenye ufanisi, na hakuna zana bora kuliko SMS katika kufikia lengo hili...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaume tambua thamani yako

    Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Je unajua kwa gharama Nafuu Unaweza Kupata Vipuri (Accessories) kwa ajili ya Laptop/ Desktop yako?

    Kama Unathamini Laptop/Desktop yako Usikubali Hii Ikupite.....! Habar Ndugu.... Hata Kama umekuwa Ukitafuta Vifaa vya Laptop/ Desktop kwa Kipindi cha nyuma bila Mafanikio leo kuna Suluhisho la Changamoto yako hiyo, Fuatana nasi leo..!! Je Unajua kuendelea kutumia Kifaa chako katika utaratibu...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume anapogundua anapendwa sana na mwenzake basi ataanza kumfanyia visa kama vile kutojibu sms zake kwa wakati...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpunguza ndugu yako?

    Habari zenu wakuu, Ndugu sio kama marafiki, ndugu atuchagui ila tunajikuta wapo kwenye maisha yetu tu. Ndugu ni kiungo muhimu sana kwenye maisha ya kila mtu hasa pale anapokuwa chanya kwako. Kwa upande mwengine kuna ndugu hasi hawa sio supportive, full majungu, uchawi, ubinafsi na mambo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Acha kuponda starehe msaidie ndugu yako achomoke kwenye tanuru la umaskini

    Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono. Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini. You have to play so hard perpendicular...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi yako inapokuwa burudani yako!

    Haitakuchosha! Hautahitaji kusimamiwa! Matokeo yanaweza kuwa kama ya huyu Mchina!
  10. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Singida FG Hussein Massanza tunasubiria Matokeo ya Taarifa yako kuwa kuna 'Hujuma' ilifanyika kabla hamjacheza na Yanga SC jana

    Baada ya Kuiangalia Video Clip yako iliyowekwa na Gazeti la Mtandao wa Mwanaspoti (ulipokuwa unazungumza) huku Body Language yako ikielezea mengi na Sura yako ikiwa Kali isivyo kawaida na kama ulivyozoeleka naamini kuna Jambo lililojificha lakini kama Siku PCCB (TAKUKURU) wakiamua waingie Kazini...
  11. JamiiForums Tanzania Badilisha screen yako ya kawaida kuwa smart screen bila ya remote!

    Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na kasi kubwa sana katika miongo ya hivi karibuni. Moja ya mabadiliko makubwa ni kuingia kwa smart screens, ambazo zimefanywa kuwa na uwezo wa kuunganisha na vifaa mbalimbali vya kidijitali na kutoa uzoefu bora wa matumizi. Hata hivyo, kununua smart screen...
  12. JamiiForums Tanzania Tuoneshe asili/maana ya ID yako kwa video au picha, ya kwangu ni hii

    Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
  13. JamiiForums Tanzania Washikilie wanaokujali

    Kuna watu, ambao wapo na wewe wakati wa raha na huwamkaribu nawe kwa manufaa yao, Kuna watu wapo na wewe, wakati wa shida na huja tu endapo utakua katika wakati mgumu, Kuna watu wapo na wewe sababu tu kuna vitu mnafanya pamoja, yaweza kuwa kazini, masomoni, au kwenye shughuli mbalimbali za...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Baba, tumia mapumziko Yako ya week-end kwa kukaa na wanao.

  15. JamiiForums Tanzania 'Matege Ndani' Baba yako aliyeondoka 'Mazima' aliwashindwa 'Coast Mafias' je, Wewe uliye Mwepesi utawaweza?

    Halafu acha Kuwaamini hao Waandamizi wako Watatu wa Idarani na Mmoja ni Mstaafu kwani Wanakuponza utaumia.
  16. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kipaji na mapendeleo yako

    Kipaji Ni uwezo yaani watu wanakuwa na maslahi na kile ulichonacho wakati hamu ni mapendeleo ni hisia ama tamaa unayokuwa na shauku nayo juu ya kitu /jambo fulani linalokuvutia. Ili kukitambua kipaji chako lazima uwe makini kwenye shughuli za kila siku au matendo unayoyatenda Kila siku yapi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

    Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze. Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Kama hujawa tayari kuishi na kuiheshimu ndoa yako ni bora ubaki peke yako na uhuru wako

    Tazama Hapa tukio la FUMANIZI la jamaa mmoja ambaye alifanikiwa kumfuma mke wake wa ndoa akijivinjari na mwanaume mwingine nyumba ya jirani. Angalizo: Punguza Sauti Kama upo kwenye watu wengi https://www.instagram.com/reel/C5pbVlzIiGv/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg== Kama mtu hujawa tayari kuitumikia...
  20. JamiiForums Tanzania Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…