Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania
Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je
Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi?
Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili?
Mbinguni kunani?
Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu vitakatifu, ziliwahi kuvutia hisia za watu wengi hasa alipokuwa akizungumzia masuala ya kisiasa kwa...
Al maruhum Sheikh Yahaya Husein alitusimulia maono yake kua,baada ya JMK atakuja mtu mweusi,mchapa kazi halafu mchekeshaji.
Huyu atamaliza dakika arobaini na Tano za kwanza,lakini arobaini na Tano za pili hatazimaliza.
Katika maono yake alisema atakuja Malkia,na baada ya Malkia itaingia timu...
GT
Jamani huwezi kupambana na nature. maCCM nawaonea huruma. Mnaumwa halafu hamtaki kumwona daktari.
Hii nguvu mnayotumia kwa sasa kupambana na upinzani haijwahi kutokea Lakini pia mwamko wa watanzania kuwakataa ninyi upo katika kiwango cha juu mno katika historia ya Tanzania.
Je mtaweza au...
Nimefuatilia kwa makini kesi ya Lisu leo, kama kungelikuwa na free and fair judiciary, Hakimu Leo hii, angelimuachia Lisu.
Ame cite case zenye guvu ya kisheria sawasawa.
In DPP V. Yahaya Upanga & Another [1983] TLR 151 (HC),
the Court held:“
If the court refuses to adjourn the case after...
Nimefuatilia mijadala mingi sehemu mbalimbali kuna hoja kuwa Sheikh Yahaya mnajimu alitabiri kuwa "baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchekeshaji ambaye atahudumu kwa muda mfupi, hapo Tanzania itapata Rais Mwanamke baada yake upinzani utachukua nchi"
Kwa kuwa Watanzania wengi wanaamini...
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.