written interview

"Written on Her" is a song by American rapper Birdman featuring British singer Jay Sean. It was released as a single on June 23, 2009. The song was produced by Oddz N Endz, and samples the Deadmau5 remix of "The Longest Road" by Morgan Page featuring Lissie.
The song was first played during an interview on Westwood Radio 1 with Birdman and Jay Sean. It was only an iTunes Store bonus track for the 2009 album Priceless However, the remix featuring Flo Rida and Mack Maine was included in the deluxe version of the album.
'Written on Her' became Birdman's first British single, when released digitally in the UK on December 7, 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Written Interview za Utumishi matokeo yake ni unfair. Kwanini mfumo hautoi matokeo moja kwa moja unapo-submit mtihani?

    Written interview za online ni unfair kwa sababu mifumo ya mitihani ya online huwa inaleta matokeo moja kwa moja punde tu unapomaliza kujibu mtihani, kwanini mfumo wa Utumishi haujatengenezwa hivyo? Hiyo inatuaminisha kwamba Matokeo hayo sio ya haki ni batili, ya kupangwa. Tunaomba mfumo...
  2. Holota

    Kufaulu written interview zinazosimamiwa na PSRS

    Wakuu habarin za muda huu Moja kwa moja niende kwenye mada nimehitim mwaka juz shahada ya finance baada ya kumaliza nilifanikiwa kufanya sail za sekretareieti ya ajira zaidi ya 6 na zingine zinazo simamiwa na tasisi zenyew mfano TRA lakin zote hizo hakuna hata moja niliyofanikiwa kwenda oral...
  3. Isenye

    Finance management officer ii utumishi wanatoa maswali gani kwenye written interview?

    Kwema? Hivi hawa utumishi written interview ya kada ya finance management officer ii mwajiri akiwa ni msajili wa hazina huwa wanatoa maswali gani?
  4. Masai wa Town

    Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

    Naomba kueleweshwa, Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization? Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview. Oral...
  5. M

    Waliowahi kufanya oral & written interview kwa kada ya public Administration utumishi, interview zao zikoje?

    Hello Guys I hope you are doing well, naomba usaidizi kwa swali nililoulza hapo juu. Natanguliza shukran.
  6. M

    Majibu ya rufaa kwa ambao hawakuitwa written interview ya TRA March 2025

    Habari Wadau, Naomba kuuliza kwa wale ambao hawakuitwa kwenye written interview ya TRA na wakawasilisha malalamiko yao,Je walijibiwa?
  7. Meneja Wa Makampuni

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  9. K

    Ni kama vile Gaming board wanataka kuchakachua matokeo ya written interview

    Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya, Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata haikua kubwa kiasi cha kusema bado wanasahihisha hadi leo,utumushi tumefanya juzi interview watu...
  10. Ujuja

    Utumishi leo wamenizuia kufanya online written interview

    Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA. Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia kufanya kwa sababu wanasema mpaka mda ambao nitaitwa kazini (Ikitokea nimepata) nitakuwa na miaka 30...
  11. captain 21

    Msaada: maswali ya usaili (Written interview - economist)

    Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
  12. Isenye

    Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  13. VINICIOUS JR

    Walimu mwenye PDF ya mtokeo ya written interview ya Kiingereza

    kwema wakuu, kama mada inavojielza mwenye pdf naomba aweke hapa ili tujue tmepata ngap ingawa kwenye account nishakuta NOT SELECTED
  14. G

    Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  15. Mejasoko

    Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

    Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
  16. Nyarupala

    Siku moja written interview za masomo mawili. Je, niache moja?

    Ase hii mbona inachanganya sana? Yaani tarehe 27 mwezi huu nafanya wrriten interview za masomo mawili na muda ni huohuo. Kwamba niachane na somo moja? Kwasababu napiga simu zao hazipokelewi.
  17. L

    Written Interview Cooperative officer

    Wakuu poleni na majukumu, Naomba kuwauliza maswali yanayoulizwa kwenye written interview kada ya Cooperative (UTUMISHI).
  18. October 2pm

    Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.. Nafasi zilizopo 11,000/= Walioomba. 200,000/= Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18. Interview ya Kwanza Written. Washiriki 200,000 Nafasi zinazogombewa 44,000 Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne. Interview ya Oral. Washiriki 44000 Nafasi zinazogombewa...
  19. S

    Written interview results: Health laboratory technologist & technologist pharmacy

    WRITTEN INTERVIEW RESULTS; HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST & TECHNOLOGIST PHARMACY
  20. Shammy-

    Kimetulamba kwenye written interview

    Ebwanaa eeh..Leo kwenye interview (DUCE) picha linaanza Hilo hall tuloingia limeshona balaah! Yani hamna upenyo watu Kama wote almost kama 600..na hapo Kuna wengine wamezuliwa kuingia kwa kukosa vigezo.. Picha lenyewe Sasa....👇 Kwa upande WA lab technician Mtihani waliyotuletea ni WA maabara za...
Back
Top Bottom