world

The world is the planet Earth and all life on it, including human civilization. In a philosophical context, the "world" is the whole of the physical Universe, or an ontological world (the "world" of an individual). In a theological context, the world is the material or the profane sphere, as opposed to the celestial, spiritual, transcendent or sacred spheres. "End of the world" scenarios refer to the end of human history, often in religious contexts.
The history of the world is commonly understood as spanning the major geopolitical developments of about five millennia, from the first civilizations to the present. In terms such as world religion, world language, world government, and world war, the term world suggests an international or intercontinental scope without necessarily implying participation of every part of the world.
The world population is the sum of all human populations at any time; similarly, the world economy is the sum of the economies of all societies or countries, especially in the context of globalization. Terms such as "world championship", "gross world product", and "world flags" imply the sum or combination of all sovereign states.

View More On Wikipedia.org
  1. Ijue Dubai Ports World (DP World) company

    Dubai Ports World (DP World) ni kampuni ya kimataifa ya usimamizi wa bandari na kuwezesha biashara iliyo na makao yake makuu huko Dubai, Falme za Kiarabu (UAE). Ni mmoja wa waendeshaji wakubwa wa bandari duniani na inasimamia mtandao wa bandari za baharini na ndani katika zaidi ya nchi 45 kwenye...
  2. Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

    Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika. Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji...
  3. Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

    Ukisoma andiko la 'Opening the Gates: How the Port of Dar es Salaam Can Transform Tanzania?' Author: Jacques Morisset Anasema kwamba, "Meli zinazolenda mizigo Tanzania huchukua wastani wa siku 10 kwenye foleni hadi kufika kwenye gati, na siku wastani wa siku 10 nyingine kupakua mzigo wote hadi...
  4. Zitto Kabwe atoa hoja nzito juu ya uwekezaji wa DP World Tanzania

    Nimesikiliza kwa makini sana alichozungumza Zitto Kabwe juu ya hili suala la DP World. Kwanza ningependa kumpongeza Zitto Kabwe kwa kazi nzuri sana anayoendelea kufanya, kwenye hili ametenda haki na ameonesha ukomavu wa hali juu kama kiongozi wa Chama cha Upinzani (ACT Wazalendo). Ameweza...
  5. Msukuma: Sikuhongwa gari ili kuwatetea DP World. Nimelipa kodi bila exemptions ili walimu wapate mishahara

    Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45. Amesema mtu...
  6. S

    Kwanini kwenye mkataba wa kuuza bandari hakuna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

    Rais anashauriwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwenye kila jambo la mikataba na sheria, sasa mkataba huu baina ya Tanzania na Dubai unaosambaa kwenye mitandaoni hauna sahihi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Suala la Bandari sio la Wizara moja ni suala la nchi haliwezi kuamuliwa kiwizara...
  7. Je, CCM kama chama tawala kiliridhia na kubariki Mkataba wa Makubaliano na DP World?

    Mkataba wa Makubaliano (Mkataba wa awali) kati ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai tayari ulishapata baraka za Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Kwa baraka hizo Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia katika Makubaliano ya awali na kampuni ya DP World (DPW) ya...
  8. Serikali Iachane na Uwekezaji Unaotarajiwa Kufanywa na DP World Kwenye Bandari Yetu

    Binafsi nikiri kwamba sijauona huo unaoitwa Mkataba au MOU (Intergovernmental Agreement, IGA) hivyo siwezi kutoa hoja zozote za kitaalam ikiwa mkataba au hiyo MOU ni nzuri au mbaya. Hata hivyo, kwa kuzingatia watanzania hawa wa leo, ambao walikaa miaka 10 chini ya uongozi wa Mhe. Jakaya Kikwete...
  9. Je, wajua Djibouti walivunja mkataba na DP-World?

    Haya mijadala inaendelea kuhusu uwekezaji wa bandari, hoja nyingi zikitolewa kutokana na masharti ya mkataba huo ambao unaonekana utaathiri uchumi wa Tanzania badala ya kuuendeleza. Kampuni ya Dubai inayosimamia bandari Zaidi ya 78 katika nchi 40 duniani imekuwa na kashfa kadhaa za ukwepaji...
  10. DP World 2023

    Wiki iliyopita nimepata fursa ya kusafiri kwenda Dubai. Nimetembelea maeneo kadhaa, ila moja ya maeneo hayo ni Bandari tatu zinazoendeshwa na Kampuni ya DP World. Kampuni hii inamilikiwa na Familia ya Mfalme anayetawala Dubai. Kwa Dubai, kampuni hii inaendesha Bandari tatu ambazo ni Jebel Ali...
  11. DP WORLD wapewe ila turuhusiwe kuendezela bandari zingine

    tutagombana sana. ninakiri kuamini kwamba, tungeruhusu wachina kujenga bandari ya bagamoyo, ingepunguza mzigo mwingi sana unaopitia dubai toka china, ndio maana waarabu wanasema hatutaruhusiwa kuendeleza bandari zingine. ninashauri, hawa DP WORLD wapewe tu bandari waiendeleze, ila kipengele cha...
  12. Lusinde Kibajaji umeitisha press kuzungumzia sakata la DP World kama nani?

    1. Je wewe ni msemaji wa Serikali? 2. Je, wewe ni afisa uhusiano wa TPA? 3. Ni msemaji wa chama tawala? 4. Je wewe ni msemaji wa Bunge na kamati zake? 5. Twambie wewe ni nani? Huoni kama ni unatetea kwa nguvu Sana kitu kilichotiliwa mashaka na Watanzania? Si ungesubiri Bungeni June 10...
  13. Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  14. K

    Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Here is a list of the latest 20 cases versus DP World in international arbitration court: 1. DP World v. Kenya (2022). The International Centre for Settlement of Investment Disputes (ICSID) is currently hearing a case brought by DP World against Kenya. DP World is seeking damages for alleged...
  15. M

    DP World na Bandari imeshatutoa katika Reli juu ya Tuhuma Kuu nyinginezo za Wizara ya Nishati

    Kama kuna Watu nawapenda basi ni Watanzania kwani ni wepeei kuhamishwa Fikra na Mitazamo huku wakiridhishwa na Asali ya Timu zao Kubwa za Simba na Yanga kwa Kusaidiwa na Rais na Serikali.
  16. Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  17. Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida. Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce...
  18. Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  19. Mwaka 2019, DP World iliripotiwa kutumia Rushwa ili kupata Udhibiti wa Bandari ya Walvis Namibia

    Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
  20. Machi 2022, Kampuni tanzu ya P&O ya Uingereza inayomilikiwa na DP World ilifukuza wafanyakazi zaidi ya 800 wa Bandari

    Mwendeshaji huyo mkuu wa Feri za nchini Uingereza, aliwafuta kazi wafanyakazi 800 katika Meli zote baada ya kusimamisha safari zake zote. Vyama vya wafanyakazi viliitosha mgomo na maandamano na kuitaka serikali kusitisha kile ilichokiita "usaliti wa kashfa", huku P&O ikipanga kutumia wafanyikazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…