wokovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wokovu wa zamani vs wasasa

    Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege. Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati tukiwa safarini kutoka kwenye hosteli kwenda ukumbini, kuna kitu nilijifunza Nikamuuliza mama mmoja mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Soma Tenzi za rohoni, Nyimbo za wokovu na biblia kwenye website au pakua app ya Wakristo yenye kila kitu Offline

    Habari nilileta ile uzi wa kwanza lakini sababu nimeshindws kiedit heading sasa nimetengeneza mwingine modes nisaidieni kuufuta ule wa kwanza Nimetengeneza app kwa ajili ya android, ios na web Ambapo mtu anaweza kusoma tenzi za rohoni, nyimbo za wokovu na biblia (kote) akiwa na app anaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Wakristo, App yenye biblia,Tenzi za rohoni na Nyimbo za Wokovu pamoja

    Habari, nimetemgeneza app inaitwa Wakristo ndani yake ina biblia(SUV) tenzi za rohoni na Nyimbo za wokovu Pamoja na features nyingi za kukurahisishia kazi, hii ni first version kwa ajili ya android pakua hapa Nimerecord video kuhusu matumizi hii hapa https://vt.tiktok.com/ZS4X3oW3J/...
  4. JamiiForums Tanzania Etwege wa leo sio Etwege wa jana. Kweli Ukombozi umefika kwa watu wake Mungu

    Nimemusoma uku machozi ya furaha yakinibubujika. Ukombozi umekaribia kabisa upo mlangoni maana waliokua vipofu sasa wanaona na kuutanbua ukweli wote bila kubakiza kitu WATU WA MUNGU WTARUDI KWAKE NA WASHETANI WATABAKI KUWA WAKE SHETANI SIKU ZOTE.Huyu alikuwa mtu wa Mungu amerudi kwa mola ake...
  5. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima simu usiku: Daraja la Wokovu Wakati wa Dharura

    Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa. Nyakati za usiku zimejaa mambo yasiyotabirika, na simu yako ikiwa hewani inafanya kazi kama kiunganishi...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wokovu, je waweza kuokoka na ukawa mkatoliki? au Mlutheri, au wokovu ni kwa "walokole" pekee?

    UKISEMA wewe ni mkristo utaulizwa ,dhehebu gani?Hapa Kuna Wakatoliki (mama wa dini zote),Kuna waprotestanti (Lutheran, Anglican, n.k.) ,Kuna Wasabato , Jehovah witness, latter day saints,Kuna madhehebu mengine chungu nzima.Kuna wapentecoste hawa ndiyo wanajulikana hapa Tanzania kama (WALOKOLE)...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Kristo Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni

    Wokovu kutoka kwa nini? Unaporudia neno “wokovu” bila kuelewa, unakariri hadithi ya kubuni si ujumbe halisi. Unawasikia Wakristo kila mahali wakisema: “Yesu aliniokoa!” “Alinikomboa kwa damu yake!” “Aliniokoa kutoka laana ya asili!” Lakini hebu nikuulize: Rafiki yangu, Yesu alikuokoa kutoka...
  8. JamiiForums Tanzania naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

    Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM. Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
  9. JamiiForums Tanzania Sisi je! Tutapataje kupona, tusipojali wokovu mkuu namna hii?

    [Mwz19:1]Malaika wawili wakaja Sodoma jioni; na Lutu alikuwa amekaa mlangoni pa Sodoma. Lutu akawaona akaondoka akaenda kuwalaki, akainama kifudifudi. [Mwz19:2]Akasema, Bwana zangu, karibuni nawasihi mwingie nyumbani mwa mtumwa wenu, mkalale, mkanawe miguu yenu, hata asubuhi mwondoke na mapema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…