Kweli kabisa mitandao inabaini mapema kabisa! Ktk kupanga bajeti za nchi, bajeti inaongezwa kutegemea nani ni waziri, na anapangiwa makatibu wakuu wa aina fulani. Trend hii ilijionesha kwa Bashe. akaja na program ya mfukoni, akafanya ufisadi anavyotaka, mitandao tukaandika, akina Mpina wakauliza...