wivu wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Profesa ntare nkobe

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi umekuwa chanzo kikuu cha ulemavu na vifo

    Hali imekuwa mbaya ukiachana magonjwa tuliyo nayo kuuwa wapendwa wetu kwa wivu wa mapenzi nao una ua sana. Baadhi wamekuwa walemavu, kuna haja ya serikali kutoa elimu kwa nguvu zote angalau kupunguza haya madhara.
  2. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkazi wa makabe anayeitwa Grace amemwagia nyumba yao petrol na kuwasha moto huku akiwa amemfungia mpenzi wake ndani ya nyumba hiyo na kumfanya mwanaume huyo kuteketea kwa moto na kupoteza uhai. Vyanzo vya kuaminika vinadai kabla ya tukio hili mwanamke huyu alikuwa akimtuhumu mumewe kwamba...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Munde Tambwe: Sheria itungwe kudhibiti mauaji ya mapenzi

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Munde Tambwe ameomba mwongozo wa Spika wa Bunge akitaka chombo hicho cha kutunga sheria kujadili ongezeko la mauaji ya wivu wa mapenzi. Mbunge huyo ameomba mwongozo huo leo Ijumaa Juni 4, 2021 mara baada ya kipindi cha maswali na majibu. Munde amesema kuna ongezeko...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Busega: Aua Mkewe kisha naye kujinyonga kutokana na tuhuma za kusaliti Ndoa

    Edward Manyangu (41) mkazi wa kijiji cha Ijitu Wilaya ya Busega mkoani Simiyu anadaiwa kumuua mkewe, Dalali Maunga (41) kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao akizungumza leo Jumanne Mei 11, 2021 amesema tukio hilo lilitokea jana Mei 10, 2021 baada...
Back
Top Bottom