wingi

Primnoa wingi is a species of soft coral in the family Primnoidae.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  2. Kesho tujitokeze kwa wingi kutazama mazoezi ya club yetu

    Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
  3. Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

    Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan. Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya...
  4. W

    Kwa wingi huu wa matapeli kutokea Mbeya, Je Mbeya kuna chuo cha utapeli ?

    Kwa upande moja Mbeya imekuwa mkoa wa kujivunia kwa kutoa wasomi na viongozi mahiri lakini kuna upande mwengine unaitia doa 1. Mawinga wengi sana hutoka huko, utafika Kariakoo kuulizia kiatu cha elf 20 ila winga anataja 50 2. Fake pastors wanaoishi maisha ya kifahari, kufanya miujiza yenye...
  5. PreGE2025 CHAUMMA: Suala Siyo wingi wa watu bali wana hoja gani?

    Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo. Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
  6. Ukuaji wa Pesa Taslimu hasa wingi wa Noti kubwa (10,000) kuna Changamoto za Kiuchumi?

    Kulingana na ripoti ya BoT ya robo ya mwisho ya 2024, mzunguko wa fedha Tanzania unaonyesha ukuaji wa kushangaza, lakini pia unaonesha mapungufu ya kiuchumi yanayohitaji uchunguzi wa kina. Pesa taslimu iliyo nje ya mifumo ya benki imepanda kutoka trilioni 4.5 mwaka 2020 hadi trilioni 7.3 mwaka...
  7. A

    Naomba kueleweshwa kuhusu wingi wa damu je damu ya 16.5 kwa mwanamme ni nyingi au kawaida?

    Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
  8. Kama umekuta umejaliwa wingi wa mali then kuwa makini na ushauri dhidi ya uendeshaji wa familia yako haswa kutoka kwa ndugu.

    Mara nyingi unakuta roho zinauwaumia kwa ndani kutokana na makali ya mafanikio yako,. Watoto wao kutoweza kukufikia maendeleo, Shuguli zake hazilipi kama zako, etc Directly, hawawezi kuku-affect ili ushuke na ubaki kufanana na wao so wanapopata chance adhimu ya kukushauri jambo lililo personal...
  9. Z

    WITO WA KWENDA KISUTU KWA WINGI KESHO KUSIKILIZA KESI YA LISSU

    Nasema hivi kwa sababu mpaka sasa hatujasikia zuio la hakimu anayeendesha kesi kukataza wananchi wa kawaida kuhushuria kesi hiyo ya wazi. Amri ya polisi ya kuzuia wananchi kuhudhira mahakaman kwenye kesi ya wazi, kamata kamata, kuteka na kutesa watu wliohudhuria ilikuwa ni uvunjifu mkubwa wa...
  10. Walanguzi wa Kariakoo wanasumbua sana Shati la Tsh 5,000 unauza 30,000?

    Wachina wanakaribishwa kwa wingi Kariakoo ikibidi wafungue malls za kutosha pale Mnazi Mmoja na Jangwani ili wauze vitu nafuu tofauti na Walanguzi wa sasa. Shati la Tsh 5,000 Mkinga/Mangi anauza 30,000 Kariakoo?
  11. Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  12. WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  13. H

    Wazungu,Wahindi,Wachina,nk hawasali makanisani/misikitini kwa wingi na wamefanikiwa lakini Waafrika wanaosali kwa wingi ni masikini?

    Kwanini Afrika wazungu,wahindi,wachina,nk hawasali makanisani/misikitini kwa wingi na wamefanikiwa lakini Waafrika wanaosali kwa wingi ni MASIKINI? Umewahi kujiuliza hili swali na je umepata jibu gani na umechukua hatua gani kujikomboa?
  14. Nahitaji Pumba za Mahindi na Mashudu ya Alizeti kwa Wingi

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi. Kuna tenda mezani. Zinahitajika: Pumba za Mahindi (Tani 74) Mashudu ya Alizeti (Tani 22) Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
  15. Kwanini watu wanaziuza Nissan Xtrail kwa wingi sana?

    Ni jambo la ajabu sana ila tokea mwaka jana 2024 mwezi wa Disemba nimekuwa nikikutana na matangazo mengi ya watu wakiuza magari yao ila katika matangazo 10 basi kuna matangazo 8 ya mauzo ya gari aina ya Nissan Xtrail. Wapo wanaouza kwa sababu mbalimbali kama uhitaji wa pesa za matibabu, au...
  16. Wanajeshi wa Rwanda wanakufa kwa wingi, Pamoja na Serikali ya Rwanda kukana uwepo wa majeshi yake DRC

    Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
  17. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  18. Makocha Saed Ramovic na Fadlu Davis, walalamikia wingi wa mechi.

    Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata. Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
  19. Mikate imeadimika kabisa huko Kilimanjaro. Sababu wingi wa watu walioenda kusherekea Krismasi na Mwaka mpya

    Hii sasa ni balaa! Mkate umekuwa dili huko Kilimanjaro ================= Kufuatia wingi wa watu waliokuja kusherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya mkoani Kilimanjaro, bidhaa aina ya mkate imeadimika katika maduka makubwa (supermarkets) mjini Moshi na kusababisha adha kwa watumiaji wa...
  20. Kwanini Mbuni, Tausi na Kasuku hatufugi Kwa wingi hapa Tanzania?

    Mimi ni mdau wa kilimo na Ufugaji na ninapenda kutoka moyoni kabisa. Katika Hali inayonipa maswali mengi ni hili swala ufugaji wa Ndege kama Tausi Mbuni na Kasuku. Huwa napenda kujifunza bila ukomo hasa kupitia mitandao ya kijamii. Ukiingia mjini YouTube uka search Ufugaji wa Tausi Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…