winga

Wingas GmbH is a gas distribution company located in Kassel, Germany. It is a subsidiary of Gazprom, which held its shares through W&G Beteilligungs-GmbH & Co. KG.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Phiri ni zaidi ya Mayele, Phiri ni winga ila anagoli za kutosha

    Kuna watu wanadiriki kumfananisha Mayele na Jenerali Phiri, Mayele ni mshambuliaji na Phiri ni winga. Phiri kupambana na Mayele kwa idadi ya goli ni heshima sana kwake.
  2. Augustine Okrah, winga bora zaidi katika soka la Tanzania kwa sasa

    Huyu jamaa alisajiliwa kimyakimya na hata gharama za ujio wake hazikuwekwa wazi. Ameonesha kuwa ni winga mwenye makali ya kimataifa. Ana kasi, pasi za upendo, anaona nafasi katikati ya msitu wa mabeki na ni mpambanaji. Katika muda mfupi aliopo Simba amefanya wachezaji wengi sana waliopita hapo...
  3. Ajira Ajira Ajira

    Habari! Nahitaji vijana 10 hadi 20 ambao wanajihusisha na kazi ndani ya kariakoo, kwa lugha nyepesi bila kumumunya maneno nahitaji winga wa kariakoo nifanye nao kazi ya kufanya utafiti wa bidhaa husikia ambazo mteja anahitaji kutoka kariakoo kwa bei ya jumla. Kila chimbo la bidhaa ambalo mteja...
  4. Wazoefu wa Instagram na Facebook. Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka kwa anaefanya kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
  5. Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…