William Vangimembe Lukuvi (born 15 August 1955) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Ismani constituency. At present, he is the Minister for Lands, Housing and Human Settlement Development. He completed Masters of Arts in Political Science at Open University of Tanzania.
Wakuu,
Mossy Lukuvi, ambaye ni mdogo wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratıbu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amewaomba msamaha watu wote ambao wakati wa uhai wake kiongozi huyo aliwakosea na ameondoka bila kuwaomba msamaha...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa William Lukuvi Viwanja Vya Karimjee Dar es salaam.
Mheshimiwa Lukuvi Aliaga Dunia baada ya Kuugua...
https://www.youtube.com/live/y_iXq1YH0ag?is=DwDqptaqYbLwT_3I
Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026. Hadi mauti yanamkuta Lukuvi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa...
Naona wanaendelea kutoa ya moyo!
===========
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amesema aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Sera, Uratibu, Bunge na Walemavu, marehemu William Lukuvi, alikuwa kiongozi wa kipekee, akifanana na ‘profesa’ kutokana na utendaji...
Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango, amesema atamkumbuka marehemu William Lukuvi kama kiongozi mwema na mshauri wa kweli huku akikumbushia kauli yake pindi hali ipokuwa ngumu yeye akiwa waziri wa fedha.
“Alikuwa nguzo kubwa katika kunieleza taratibu za serikali ndani ya Bunge. Nakumbuka...
Ukienda msibani kwa Lukuvi, wameweka bango lenye maneno ya kwenye Bibilia kutoka 2 Timotheo 4:7
"Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda"
Wazee wa zamani naomba mnisaidie, William Lukuvi ambaye juzi Samia alimtumbua kabla ya watu kumtetea akarudishwa,
Kapigana...
Hata Ole Sosopi wa CHADEMA, anamkubali Sana Festo Kiswaga. Safari hii Tunaomba Halmashauri Kuu ya Chama ngazi ya Wilaya, Mkoa, Taifa na Kamati Kuu ya CCM msifanye makosa kutuletea mtu mwingine.
Sisi tunataka Festo Kiswaga ndiyo Chaguo Nambari One kwa Jimbo la Isimani.
Asanteni
Pia soma:TANZIA...
Aliyewai kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, ambaye pia ni Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika kuhusu masuala ya Wanawake, Amani na Usalama, ameeleza kupokea kwa mshtuko kifo cha Mbunge wa Isimani, William Lukuvi.
Akizungumzia msiba huo leo...
Habari wanabodi
Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata utaratibu.
Sitaki kukuchosha sana. Hebu msikilize wewe mwenyewe mkuu.
MAONI YANGU
Awali ya yote...
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, amesema kuwa marehemu William Lukuvi alikuwa na moyo wa kujituma na kujitoa kikamilifu katika kazi, akibainisha kuwa hadi jana alikuwa ofisini licha ya kujisikia vibaya na kwenda hospitali kisha kurejea kazini kuendelea na majukumu yake.
Soma Pia: Waziri...
WAZIRI MKUU ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA WILLIAM LUKUVI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (PICC) kushiriki Mkutano wa 110 wa Wadau wa Elimu kwa Umma (WASHITIRI) leo Machi 25, 2026, ametoa salamu za pole...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na kupanga mkutano.
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku.
Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar.
Yaliyotokea 29 Oktoba 2025, yalifanya niamini kauli ya William Lukuvi.
Aliwahi kusema kwamba hatuwezi...
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Mbunge mteule wa Isimani (CCM), Mkoa wa Iringa, William Lukuvi amekanusha uvumi ulioenea mitandaoni kuwa aligombea nafasi ya Spika wa Bunge.
Lukuvi ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba 11, 2025 wakati akitoa maelezo baada ya kuteuliwa kuongoza uchaguzi wa Spika wa Bunge nafasi aliyoipata...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa William Lukuvi Bado yupo kwenye mbio na mchaka mchaka wa kukimbizana na vijana kuutafuta ubunge, bado anaona kuna mambo bado hajakamilisha vizuri kwa wapiga kura wake ,bado anaona kuna wajibu anaotakiwa kuutimiza kwa wapiga kura wake ,bado anaona anazo nguvu...
LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v
"Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia.
Lakini sasa... INATOSHA!"
William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu kwa muda mrefu katika siasa za Tanzania. Alichaguliwa kuwa Mbunge kwa mara ya kwanza mwaka 1995 –...
Imeelezwa kwamba barabara ya Pawaga mpaka Izazi imewekwa katika mpango wa kujengwa kwa kiwango cha lami hatua kwa hatua ili kurahisisha shughuli za mawasiliano na kuchochea shughuli za uchumi kwa wananchi wa Isimani.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi William Lukuvi (Mb) Isimani wakati...
Wakuu,
Ni mwendo wa kujisafisha sasa hivi na kujifanya mwema na mwenye huruma mpaka kieleweke.
=====
Serikali kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI imetoa gari jipya la kuhudumia wagonjwa lenye usajili wa STN 3638 kwa Kituo Cha Afya cha Migoli ili kuendelea kurahisisha na kuboresha utoaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.