wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo sahihi kuwahenyesha maboss wilayani

    Kama ulishaenda kuomba huduma yoyote kwenye ofisi za umma hasa ardhi, tanesco, maji nk utamuunga mkono mtumishi wa Mungu Daudi anavyowakerembesha ili watie adabu. Kama wewe ni mtumishi wa umma Ngazi ya chini utamuunga mkono kijana wa Mzee Albert Kwa utume wake huko chugastan. Wakuu wa taasisi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa kodi ya sherehe Moshi ni pigo jingine kwa wananchi wa wilaya hiyo.

    Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kamati za maafa Wilaya na Mikoa

    Kutokana na sakata la mafuriko linaloendelea nchini tanzania mfano Manyara, Kagera pamoja na sehemu nyingine sijajua kama kamati za maafa zinajurikana na kwenye bajeti ya serikali sjui kama wanaweka kipaumbele kuhusu suala hili. Tanzania kwenye preperation tukoje? au tunasblia maafa yatokee ndo...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania MKUU WA WILAYA YA HANDENI, ALBART MSANDO AGAWA MITUNGI 300 YA TAIFA GAS KWA WANANCHI WAKE HANDENI

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Wakili Albart Msando(kulia) akimkabidhi mtungi wa Taifa Gas Shekh wa Wilaya ya Handeni, Shaban Kizulwa wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi 300 ya Taifa Gas Bure kwa wakazi wa wilaya ya Handeni mjini.Ikiwa ni Kampeni maalumu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka TMA ishushe huduma za Hali ya hewa hadi ngazi ya Kanda, Mikoa na wilaya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda, Mikoa na wilaya ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za mamlaka na Kwa wananchi kwa ujumla. Profesa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watumishi wilaya ya Momba tumechoka kunyanyaswa na Mwenyekiti wa Halmashauri

    Habari wakuu, Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Namiungo, Tunduru maeneo yageuka chemchem

    Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru wapitia changamoto baada ya maeneo yao kugeuka chemichemi pia vijito vingi vya maji kuibuka na kusababisha nyumba kupata nyufa hadi kuanguka huku vyoo vikiwa vimejaa maji na kufurika kutishia magonjwa wa mlipuko ya maambukizi kama kuharisha n.k Shule baadhi ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uozo Halmashauri ya Wilaya Itigi: Mbunge amelala, Mwenyekiti wa Halmashauri anafanya ubadhirifu

    JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri Husein Simba anabaki kuoa wanawake kila siku na kula hela za miradi tu. Hebu ona hii aibu Mama SAMIA...
  11. JamiiForums Tanzania Matembezi ya kuwatembelea vijana/wananchi wenzangu wa wilaya ya Ilala

    Nilifanikiwa Kutembelea Baadhi Ya Wananchi Wa Wilaya Ya Ilala, Kutoka Kata Ya Kivule, Ili Kujua Maendeleo Ya Wananchi wa Wilaya Yetu Ya Ilala. Katika Matembezi Haya, Nilifanikiwa Kujua Mafanikio Yaliyofikiwa Na Serikali Ya Chama Cha Mapinduzi Kwa Wananchi Wake, Changamoto, Pamoja Na Mapendekezo...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Norah Mzeru agawa simu janja (Smartphone) kwa UWT Wilaya ya Kilosa ili kusaidia kusajili Wanawake katika Mfumo wa Kielektroniki

    MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Esther Malleko Atoa Simu Janja 7 (Milioni 2.1) kwa UWT Wilaya Zote za Mkoa wa Kilimanjaro

    Esther Malleko atoa simu janja saba (milioni 2.1) kwa UWT Wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro kwaajili ya kusajili Wanawake kielektroniki Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko ametoa Simu Janja Saba (Smartphone 7) zenye thamani ya Shilingi Milioni 2.1 kwaajili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nilitembelea ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala

    Mnamo Siku Ya Jana, Nilifanikiwa Kutembelea Ofisi Ya Mkuu wa Wilaya Ya Ilala, Mhe. Edward Jonas Mpogolo, Ili Kujua Machache Kuhusu Maendeleo Ya Wilaya Yetu Ya Ilala. Nilifanikiwa Kutambua Uendelezwaji na Uanzishwaji wa Miradi Mbalimbali Ya Wilaya Ya Ilala, Zikiwemo Shule, Vituo Vya Afya...
  16. JamiiForums Tanzania How come stand ya wilaya iwe nzuri kuliko ya mkoa

    Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
  17. JamiiForums Tanzania UWT Taifa Wawafikia Waathirika wa Mafuriko Wilaya ya Kilombero (Ifakara) Kuwapa Msaada wa Kibinadamu

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru wamefika Wilaya ya Kilombero kutoa Msaada kwa waathirika wa Mafuriko Miongoni mwa viongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Mtendaji wa kijiji III halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST MTENDAJI WA KIJIJI III - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Afisa Masuuli na mtendaji mkuu wa serikali ya kijiji; Kusimamia ulinzi na usalama wa raia na mali zao, kuwa mlinzi...
  19. JamiiForums Tanzania Dereva daraja la II halmashauri ya wilaya ya Itigi

    POST DEREVA DARAJA II - 1 POST EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, APPLICATION TIMELINE: 2024-04-15 2024-04-28 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari; Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua baadhi ya vitu kuhusu wilaya ya Korogwe Tanga

    Habari wakuu? Nategemea kuenda kuanzisha maisha Korogwe mjini Tanga, naomba webye ujuzi na wilaya hii wanisaidie baadhi ya taarifa zifuatazo. 1. Hali ya hewa 2. Mazao yanayolimwa sana. 3. Hali ya kibiashara na uchumi hapo mjini? 4. Upatikanaji wa vyumba vya kupanga na mashamba. Lakini vipi pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…