wilaya itilima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu Halmashauri ya Wilaya Itilima – Simiyu tumekatwa fedha vyama viwili CHAKUHAWATA na CWT

    Halmashauri ya Wilaya Itilima, Mkoa wa Simiyu, Walimu tumekatwa makato kwenye vyama viwili vya Wafanyakazi ambavyo ni Chama cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu (CHAKUHAWATA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinyume na taratibu za utumishi. Taratibu zinaeleza kuwa Mtumishi atajaza fomu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Daudi Nyalamu asema Wilaya ya Itilima hawamdai Rais bali anawadai wao na October Wanatiki

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bali wanamhisi anawadai wao na wamejipanga kuhakikisha...
Back
Top Bottom