who

  1. What is permanency in marriage? permanency for what and for who?

    Hello Umofia Kwenu JF? This is the question: what is permanency in marriages? for what and for who? what are the methods to arrive at it?, what is the strategy towards permanency in marriage? what are the indicators for every stage in marriages? what are the action plans in achieving the so...
  2. WHO: Vifo Barani Afrika kushuka kwa 94%

    Vifo kutokana na Virusi vya Corona Barani Afrika vinatarajiwa kushuka kwa hadi 94% mwaka 2022, ikilinganishwa na mwaka 2021, Uchambuzi mpya wa WHO Afrika unaonesha makadirio ya Vifo 60 kwa siku, tofauti Vifo 970 kwa siku mwaka jana. Zaidi ya Maambukizi Milioni 11.8 na vifo takriban 250,000...
  3. WHO Forced into Humiliating Backdown with regards to International Health Regulations

    Brilliant news out of Geneva today! As most of you know, the World Health Assembly has spent the past 7 days considering Biden’s 13 controversial amendments to the International Health Regulations. Official delegates from wealthy developed nations like Australia, the UK, and the US spoke in...
  4. WHO yashauri hatua za haraka kuchukuliwa kukabiliana na maambukizi ya MonkeyPox

    Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na maambukizi Hatua zinazoshauriwa ni pamoja na utambuzi wa mapema, kutengwa kwa wanaohofiwa kuwa na...
  5. WHO: Ugonjwa wa Monkeypox unatarajiwa kusambaa zaidi

    Shirika la Afya Duniani - World Health Organization limesema kuwa linategemea kuwepo visa vingi zaidi vya mlipuko wa ugonjwa wa MONKEY POX na kupata visa vingi zaidi. Amesema pia kuwa kusambaa kwa ugonjwa huu kulipungua katika kipindi cha mlipuko wa UVIKO na kusema kuwa visa vya ugonjwa huu...
  6. Who will cry when you Die?

    Ni kitabu kizuri kinafikirisha sana Ukikisoma mpaka Mwisho,Anza leo Kuchukua Hatua.
  7. T

    Who are Tanzanian elites

    Unapo fuwatilia historia za mataifa yanaitikisa dunia kiuchumi, kitekinolojia, kiusalama na kisiasa basi nyuma ya mambo hayo wapo watu hatari wenye uwezo usio wakawaida kufanya maajabu hayo. Swali natamani tulijadili kwa pamoja ni kujiuliza who are elites of this Nation? And what is the role...
  8. WHO yasema visa vya maambukizi vya Covid-19 vyaongezeka Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
  9. Chokoleti inavyoweza kukupa bakteria wa homa ya matumbo, watoto wameathirika zaidi

    Aprili 27, 2022, Uingereza ilitoa taarifa kwa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) kuhusu kundi la wagonjwa wenye maambukizi ya bakteria wa Salmonella Typhimurium. Uchunguzi ulihusisha mlipuko huo na chokoleti ambayo imesambazwa katika nchi 113. Ripoti ya WHO inaeleza zaidi ya watu 150...
  10. WHO: Maambukizi na vifo vya COVID-19 vimepungua sana Afrika

    Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ripotiN yao ya Aprili 14, 2022, ambapo maambukizi...
  11. Ukraine: upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema

    Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema CHANZO CHA PICHA,EPA Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
  12. WHO: Walioambukizwa Uviko-19 Afrika ni mara 97 ya takwimu zilizopo

    Inaelezwa kuwa mbili ya tatu ya watu waliopo Afrika wameambukizwa Ugonjwa wa Uviko-19 ndani ya miaka miwili, ikiwa ni mara 97 ya takwimu zilizoripotiwa na mamlaka husika. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Taarifa hiyo iliyotoka wiki hii inaonyesha kuwa maambukizi...
  13. For those who believe Disney is the thing, think twice: It is a Pedophile and LBGT community

    The Disney Company believes that grooming your kids is the hill that it wants to die on — which should tell you everything you need to know about the people running Disney these days. No sane corporation would put out a statement such as this one unless it wanted to be recognized as a...
  14. The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000

    The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000 for ticket and visa. The embassy stated this when scores of Nigerian men converged on its premises in Abuja on Thursday to express their readiness to...
  15. Shirika la Afya Duniani (WHO): Vita ya Urusi na Ukraine itazidisha tatizo la Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vita kati ya Urusi na Ukraine vitazidisha madhara ya COVID-19 kwa kuwa juhudi za kupambana na Corona zinasahaulika. Japo maambukizi yamepungua nchini Ukraine, kuna hatari ya vifo au kuugua sana kutokana na utoaji chanjo kuwa chini. Pia watu milioni 2...
  16. Dad who flew family from UK to Ukraine for ski holiday forced to sign up to fight Russia

    A dad who took his family on a skiing holiday to his native Ukraine has spoken of his fears that he could be drafted into the army to fight against the Russians Tymofii Dmytrenko, 39, went with his wife and two children for the skiing trip, but claims he has now been put on standby to fight...
  17. M

    7 Most evil people who have ever lived in the World

    Tragic events have occurred all across the world. Wars, genocides, riots, assassinations, famines, and so on. The authors of these inhumane procedures, on the other hand, are the true evildoers. Men who campaigned for criminality on a scale that no one else could comprehend. Their choice caused...
  18. WHO: Watu zaidi ya Bilioni moja wapo hatarini kupoteza uwezo wa kusikia

    Kuelekea Siku ya Usikivu Duniani (Machi 03, 2022), Shirika la Afya (WHO) limesema zaidi ya Watu Bilioni Moja ulimwenguni kote wapo katika hatari ya kupoteza uwezo wa kusikia kutokana na mazoea ya kusikiliza muziki kwa sauti kubwa, na kwa muda mrefu. Imeelezwa kuwa, kupoteza usikivu kutokana na...
  19. Kenya2022 For DP Ruto, who is the preferred running mate?

    The poll found that 33.9 per cent of respondents said Mudavadi would be the best running mate for Ruto In Summary Mudavadi joined forces with Ruto in late January, that seems to have propelled him to the position of preferred running mate for Ruto. 11.5 per cent said Martha Karua would be his...
  20. WHO yapata idhini ya kusambaza vifaa vya matibabu Tigray

    Shirika la afya ulimwenguni WHO limepata kibali cha kusambaza vifaa vya matibabu katika jimbo la Tigray nchini Ethiopia, ikiwa ni mara ya kwanza ndani ya miezi sita, lakini uhaba wa mafuta bado unakwamisha zoezi hilo. Mkurugenzi wa shirika hilo, Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…