wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Magaidi wenye mlengo wa kiislamu wachinja watu 22 Nigeria

    Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake...... =========================== Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend...
  2. JamiiForums Tanzania Bandari ya Iran iliyolipuka au kulipuliwa ndio ilikua inatumika pakubwa kupeleka silaha kwa magaidi wenye mlengo wa kiislamu

    Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ya kukamata raia na kuwatesa, kuwatupa mabwepande kwa makundi ni tulikua tunasoma kwenye utawala wa idd amini

    Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini. Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Wenye kuhitaji madarasa ya ukuaji wa kiroho ili kupata uhuru wa kweli na amani ya ndani mcheki Mwalimu hapa

    [4/25, 13:22] Dr Rwakiunge Anointing Oil For Everything: Yes, hilo linawezekana tena kwa urahisi sana. Kwenye mada yetu ya Nguvu za Ziada (Paranormal abilities) tutakayoanza kuisoma mapema wiki kesho, tutajifunza mengi sana na hilo likiwemo ili wanaotaka kufanya bilocation wafanye na huo ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Karibu SHEBWA MASONRY CONTRACTION ujipatie mafundi ujenzi wenye viwango stahiki vya ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  7. JamiiForums Tanzania Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi wenye uzoefu...
  8. JamiiForums Tanzania Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

    Najiuliza maswali haya: Yesu alisema tukimuomba Mungu kwa Jina lake Yesu tutapewa (Yohana 14:13-14). Kwanini sasa tunamuomba Maria atuombee? Maria yuko wapi kwa sasa? Kuna ushahidi gani wa kibiblia kwamba pale Maria alipo anatusikia na kutuombea? Aliye na majibu ya maswali hayo, anijuze. Ila...
  9. JamiiForums Tanzania Nashauri Watanzania tujifunze na kuwafundisha watoto wetu kuacha tamaa za madaraka

    Tamaa za madaraka hazina maana yoyote, ndio kiini cha mauwaji na machafuko kwenye nchi. mnaweza kujifunza kwa mataifa mengine hapa Africa yaliyokuwa na watu wa namna hii. Mtu unauwa ili kupata madaraka, kumbuka uhai ni kitu cha msingi kuliko madaraka ndio maana ili uwe na madaraka lazima uwe...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wenye kumwulizia "Mwamba Bado yupo yupo sana." Aluta continua!

    Huyu ndiyo yule gwiji tuliyekuwa naye kwenye mapambano: Mwenzetu, ndugu yetu, Freeman Aikael Mbowe. Aka Mwamba. Aluta continua!
  11. JamiiForums Tanzania Vijana wenye miaka 21-30 msio na AJIRA Jitikezeni KWA wingi kugombea UBUNGE

    Kuna graduate moja asiye na ajira aliwahi kujilipua kijijini kwao akachukua form akiwa hakuna hata mjumbe moja anayemjua. Alipopeww nafasi ya kujielezea walimuelewa wazee wakapigwa chini akala ajira ya UBUNGE. Vijana muingie wa kutosha. Ni kosa kulalamika wakati hujaribu. Huwezi kujua siku yako...
  12. JamiiForums Tanzania Labda muda mwingine ni sisi ndio tunadata na urembo wao kupelekea kuanza kuwatuza isivyo kawaida thus wao kuanza kuamini kumbe penzi lao ni la mauzo

    Je ni sisi wenyewe wanaume ndio tuliotengeneza aina ya mwanamke mpenda na mtanguliza pesa katika mapenzi? Au ni wadada wenyewe ndio wame-evolve kuwa money mongers katika mapenzi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wenye Hekima Wanaongea Kuhusu Haki, Machawa Wanaongea Kuhusu Amani Bila Haki.

    Siku zote, wenye akili, wenye hekima na wenye dhamira njema ya kutatua tatizo lolote, wanapogundua kuna tatizo, hutafuta chanzo cha tatizo, kwani ukikidhibiti chanzo cha tatizo, tayari unakuwa umetatua matokeo yake. Wasio na akili wala maarifa, wao hutazama matokeo. Watabakia kuhangaika na...
  14. JamiiForums Tanzania Achana na Marafiki wenye Njaa

    Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako au shida zako wazigeuze fursa kwao. Kwa sababu ya pesa wauze utu wako, na wakudharirishe badala ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  16. JamiiForums Tanzania mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  20. JamiiForums Tanzania China: Watu Wenye Uzito Chini ya Kilo 50 Waonywa Wasitoke Nje Kufuatia Upepo Mkali

    Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…