wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wamegeukia upigaji mitungi na kuachana na mademu ili kuondoa stress

    Wanawake wa siku hizi sio kama wa zamani. Zamani wanawake walikuwa na mapenzi ya kweli. Mtu alikuwa anakaa kwenye ndoa na mahusiano bila stress. Mtu alikuwa anatunza, anasomesha na kisha kuoa bila kukwazana. Siku hizi mambo yamebadilika sana. Watu wameamua kujidunga mitungi na kwenda homu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini asemwe yeye tu kati ya wengi wengine?

    Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wafuasi wa Shujaa wetu juu ya kitendo cha baadhi ya Watanzania wenzetu kumsema shujaa wetu kwa mabaya. Malalamiko haya si mitaani na kwenye mitandao ya kijamii tu bali mpaka kwa baadhi ya viongozi wa serikali na bungeni. Walalamikaji wanadai wanaoneza ubaya...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mfumo huu wa TRA wengi tutafunga Biashara

    Habari wadau; Ni hivi;Nilitembelewa na wakaguzi wa TRA ofisini kwangu.Walipofika walianza kuniuliza maswali mengi na nikawapa nyaraka zote walizotaka na kwa mujibu wa Taarifa zangu kodi yangu nilishalipa yaani sikuwa na deni. Basi baada ya kuona niko safi wakaanza kuniuliza maswali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…