weledi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Katiba Mpya sawa, lakini unadhani watu wengi wana weledi wa kutosha: Case Study South Africa

    Naitazama katiba mpya kama swala lenye ulazima na tija sana katika uendeshaji wa nchi: Sababu kuu ni moja sheria zetu nyingi zinapwaya na kuhitaji marekebisho kila mara ila sidhani kama kuna mambo muhimu matatu ya kushughulikia nchi hii Katiba itaingia katika miaka mitatu ijayo. Nadhani kuwe na...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tufanye siasa kwa Weledi na kutumia hoja na 'convincing power', si lugha za ajabu

    Habarini za leo ndugu WaTanzania, Convincing power ni uwezo wa kutumia ulimi wako vizuri kwa kutumia lugha ya kawaida isio kali kumshawishi mtu akupatie kile unachokihitaji. Mtu mwenye convincing power hatumii lugha za ajabu hujenga hoja kwa kutumia lugha ya kawaida sana isiyo kwaza wala...
  3. JOHNGERVAS

    Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

    Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
Back
Top Bottom