waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mburahati wamueleza Waziri Masauni "kuna viongozi wanawalinda waharifu waziwazi”

    Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya Polisi - Waziri Masauni ametoa taarifa ya Serikali akielezea mkakati wa Serikali wa kupeleka Polisi Kata...
  2. JamiiForums Tanzania Mwananchi amwambia Waziri Masauni “Kuna Viongozi wanawalinda Waharifu waziwazi, hatuwataki hao.”

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amefika na kusikiliza kero za Wananchi wanaoishi maeneo ya Viwanja vya Mtaa wa Barafu Kata ya Mburahati Wilayani Ubungo wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya Wizara. Waziri Masauni ametoa taarifa ya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Mkoa wa Kigoma Utakuwa Mwanzo wa Reli Katika Sekta ya Miundombinu

    MKOA WA KIGOMA UTAKUWA MWANZO WA RELI KATIKA SEKTA YA MIUNDOMBINU: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya barabara katika Mkoa wa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Awakaribisha Wawekezaji Karagwe, Miundombinu Yaendelea Kuboreshwa

    BASHUNGWA AWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KARAGWE, MIUNDOMBINU YAENDELEA KUBORESHWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inyoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuboresha miundombunu ya barabara katika Wilaya ya Karagwe hivyo amewataka...
  5. JamiiForums Tanzania TANROADS Geita Yatekeleza Maagizo ya Waziri Bashungwa, Yakamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro

    TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hii haifai, Waziri wa OR Tamisemi anamkusanyia fedha Rais Samia ili agombee 2025 akiwa anafanya shughuli za kiserikali sio za kichama

    BODABODA WAMCHANGIA RAIS SAMIA 3,170,000/= ZA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS MWAKA 2025 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amepokea mchango wa shilingi 3,170,000/= wa madereva bodaboda nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Siungi mkono haya mambo yanayomfanya na Manabii, Waziri wa mambo ya ndani chukua hatua.

    WAKUU Tusifanye masikhara huu mchezo unaofanyika pale Kawe na kule Kimara Temboni, haufai na hauna ustawi kwa afya ya Taifa letu. Na huwa ni nashangaa sana @Wizara Mambo ya ndani, wanalea na kutetea huu ujuha kwenye Taifa linalohitaji jitihada za ziada kujikwamua ili Wananchi wake waweze...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Silinde: Vyama vya Ushirika Vijijini ombeni Uwakala wa kusambaza mbolea

    Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro Ahimiza Mabadiliko Chuo cha Michezo Malya

    WAZIRI NDUMBARO AHIMIZA MABADILIKO CHUO CHA MICHEZO MALYA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watuishi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wafanye mabadiliko katika utendaji kazi wao ili waendane na kasi ya mabadiliko ya sekta hiyo hapa nchini. Mhe...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jamani majobless tunaosubiri ajira mmesikia huko waziri mkuu amewapa connection wanaopona uraibu wa dawa za kulevya

    Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Aweso kuweka Kambi jijini Dar Es Salaam hadi kieleweke

    WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA). Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania WAZIRI WA MAMBO YA MDANI

    Kama Mtanzania Mzalendo Ungependa Kumshauri Nini Muheshimiwa Hamad Masauni. Kuhusu Maswala Ya Utekaji Na Ukatili Ndani Ya Nchi?
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Hatua za Ufutaji wa Leseni na Maombi ya Leseni Yasiyo na Sifa

    WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA -Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari -Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni -Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
  16. JamiiForums Tanzania MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Tukishusha 2% ya VAT tutapoteza Bilioni 600, Bajeti ya Serikali itaathirika

    "Moja ya hoja iliyokuwa inatolewa ni kushushwa kwa VAT kutoka 18% kwenda 12%, na mimi ningetamani iwe hata 10% lakini hatujaacha tu kuishusha sababu ya kiburi cha Wizara au Serikali tu imekataa, hatujashusha kwasababu kuna nambo mengi ya msingi tunatekeleza." "Ukishusha 2% ya VAT unapoteza...
  18. JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Makandarasi Wazawa Kupewa Miradi Hadi Yenye Thamani ya Bilioni 50

    MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na imeamua kupandisha wigo wa thamani ya miradi kwa Makandarasi hao kutoka kiasi cha Shilingi Bilioni...
  20. K

    JamiiForums Tanzania NI MUDA MZURI SASA KWA WAZIRI WA FEDHA KUJITAFAKARI ,IKIWEZEKANA AJIUZURU NAFASI IMEMPWAYA.

    NAWAZAAA,NADHANI NI WAKATI SAHIHI SASA KWA MHESHIMIWA NCHEMBA KUJIUZURU KUEPUSHA YA KENYA HAPA TZ...AMEISHINDWA WIZARA ANANUNULIA TEAM ZA MIPIRA KWA MASIRAHI BINAFSI...AMESHINDWA KUA MBUNIFU KWA SWALA LA MAPATO NI MTU ANAEKURUPUKA BILA KUFIKIRIA WATANZANIA. SAY NO TO MWIGULU.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…