Waziri wa Maji na Mbunge wa Pangani, Jumaa Aweso, ameungana na waumini wa dini ya Kiislamu katika hafla ya Maulid ya Mtume iliyofanyika kijijini Kwa Mndolwa, wilayani Korogwe, mkoani Tanga.
Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na Sheik Mkuu na Mufti wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ambaye aliongoza waumini...