waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Afanya ya Kushtukiza Usiku Miradi ya BRT, Aagiza Ikamilike Kabla ya Msimu wa Mvua za Masika

    WAZIRI ULEGA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA USIKU MIRADI YA BRT, AAGIZA IKAMILIKE KABLA YA MSIMU WA MVUA ZA MASIKA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo Jumamosi tarehe 28, Disemba 2024 yenye lengo la kukagua maendeleo ya miradi ya ujenzi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso

    Waziri wa maji Aweso. Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi. Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima atoa pole kifo cha Graison, mtoto wa Chief Godlove Dodoma, ataka ulinzi kwa watoto

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto. Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
  4. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  5. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  7. JamiiForums Tanzania Benjamini Netanyahu awatakia wakristo wote Krismasi njema

    Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka Nchi Takatifu. - BENJAMINI NETANYAHU...
  8. JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Aweso aagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa mradi wa maji Kwa Msisi

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameagiza kukamatwa kwa wasimamizi wa Mradi wa Maji Kwamsisi, katika kata ya Kwamsisi ili uchunguzi ufanyike kutokana na kuhisiwa vitendo vya ubadhirifu wa fedha zilizokusanywa kutokana na malipo ya wananchi. Waziri Aweso ametoa agizo hilo siku ya Jumatatu Desemba 23...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Aapa Kutumia Nguvu Kubwa Kuwapiga Houthi; Mkuu wa Mossad Ataka Israel Ianze Kuipiga Iran.

    Baada ya shambulio la kombora la Houthi tokea Yemen kutua eneo la wazi, na kujeruhi kiasi watu 16, huku mitambo ya ulinzi wa anga ya Israel ikishindwa kulizuia, jana Jumapili 22 Oktoba 2024, Baraza la vita la Israel lilifanya kikao na kuufikia uamuzi kuwa Houthi wa Yemen wapigwe kwa nguvu kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Rasmi Tuzo za Utalii na Uhifadhi

    WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA RASMI TUZO ZA UTALII NA UHIFADHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi tuzo za uhifadhi na utalii na kusisitiza kuwa Serikali itendelea kubuni mikakati ya kuimarisha sekta ya Maliasili na Utalii kwa kuwa sekta hiyo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Taifa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  14. JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu aonyeshe mfano-aanze kupima afya ya akili yake kwanza na atuletee matokeo yake/mrejesho

    Mada Inajieleza. Mh. Deus Sangu bado ni kijana? Soma pia:Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Rais wa Somalia

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA SOMALIA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mheshimiwa Dkt. Hassan Sheikh Mohamud kufuatia mwaliko wa Rais huyo yaliyofanyika...
  17. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Deus Sangu: Tutaanza kufanya vipimo vya afya ya akili kwa vijana kabla hawajaajiriwa Serikalini

    Wakuu, Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini? Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega Atema Cheche TANROADS

    WAZIRÎ ULEGA ATEMA CHECHE TANROADS NA MWANDISHI WETU Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  20. JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…