waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza eneo la ukuta lililozidi kigogo kuvunjwa

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa kiwanja hicho. Mhe...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi atoa siku mbili kuvunjwa ukuta kigogo kutokana na kukosekana nyaraka halali za umiliki

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameipa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni siku mbili kuvunja ukuta wa kiwanja namba P18618, eneo la Kigogo, baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa umiliki. Akizungumza na wananchi leo...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri kombo atembelea miradi ya ujenzi jijini Addis Ababa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) leo tarehe 14 Februari, 2025 ametembelea eneo la mradi wa ujenzi unaoendelea kwenye viwanja vya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha apendekeza nyongeza ya Tsh. bilioni 945.7 kwenye bajeti ya serikali ya 2024/25. Pesa za Kampeni zinatafutwa?

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024. Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwigulu: Anayeongea ndiye Waziri Fedha, mkirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu imetoa pesa nyingi kama ya Sita

    Waziri wa Fedha, Mwigulu amejigamba Mbungeni kuwa "Anayeonge ndiye Waziri Fedha, mikirudi Majimboni waambieni Wajumbe wenu hakuna awamu tumetoa pesa kama awamu hii ya Sita Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ridhiwani akabidhi hundi ya mil 730 kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu Muheza

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 730 kwa Vikundi 74 vya Vijana, Wanawake na Watu wenye Ulemavu inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ya Muheza Jijini Tanga. Akizungumza...
  7. JamiiForums Tanzania Mtu akiwa Waziri anaendelea kuchukua posho za kibunge?

    Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge? Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine? Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde - Serikali Inafanyia Kazi Maboresho ya Tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika mnyororo wa uchimbaji na uchenjuaji wa madini hayo. Hatua hiyo imebainishwa na Waziri wa Madini, Mhe...
  10. JamiiForums Tanzania Naibu waziri nishati: Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Urambo, Tabora umekamilika

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Uhuru kilichopo Wilaya ya Urambo mkoani Tabora umekamilika. Kapinga ameyasema hayo leo Februari 07 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la la Mbunge wa Urambo, Mhe. Margaret Sitta...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Silaa asisitiza umuhimu wa Anwani za Makazi katika kurahisha utambuzi na utoaji wa huduma

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba shughilika na hawa lazy customer care service

    Namba ya simu TRA Arusha inaita tu haipokelewi. Why taasisi nyingi za serikali kwenye mawasiliano ni sifuri??
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bunge la Afrika Kusini, lamhoji waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi kilichowapeleka wanajeshi wa nchi hiyo DRC

    "IT IS NOT A PEACEKEEPING MISSION, IT IS AN OFFENSIVE MISSION". Wabunge wa Afrika Kusini walipokuwa wakiongea na waziri wa ulinzi na mkuu wa jeshi la South Afrika, wameonekana kutofurahia kitendo cha badhi ya watu kuamuwa wenyewe kupeleka wanajeshi nchini DRC, kwa kisingizio cha kulinda amani...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi wa Africa Kusini

    Anaitwa Angie Motshekga, ana miaka 70, ni mwalimu kitaaluma.
  18. JamiiForums Tanzania Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

    Waziri wangu wa elimu malipo ni hapa hapa duniani. Nakumbuka niliteseka sana kukupata ofisini kwako. Nilikusumbukia ndani ya wiki nzima bila ya mafanikio. Jumatatu moja nilikaa ofisini kwako kuanzia sana mbili asubuhi mpaka saa tisa jioni ndiyo nikafanikiwa kukuona. Lakini bado nilipokuona...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mambo ya Nje ya nchi Dr Balozi Kombo tolea ufafanuzi kukatwa Msaada ya TB, Malaria na UKIMWI kwa Tanzania

    Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
  20. JamiiForums Tanzania Kama waziri hapati nafasi kuonana na boss wake unaweza kupata picha nia,dhamira na utendaji kazi wa ufalme huu

    Kiongozi yeyote ambaye sio humble, anayejitengenezea ufalme, asiyejishusha kwa watendaji wake wakuu katika serikali yake, hafai hata kidogo! Atajikweza na kujiweka mbali na wananchi wake, Kamwe hatoweza kujishusha isipokuwa wakati wa uchaguzi. Kiongozi anayejisikia, kujiona, kujipa uthamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…