waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simbachawene alikiri 40% ya Watumishi wa Umma ni Wazembe, Wavivu, incompetents, kwanini Serikali iendelee kuwabeba?

    Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
  2. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Waziri Simbachewene kuvaa picha ya Samia badala ya nembo ya taifa, sio ishara nzuri

    Jana nilipata wasaa wa kumuona Waziri Simbachawene katika shuguli za kiserikali. Katika kutupia macho dress code yake nibaini amepachika nembo katika suti yake. Kusogeza zaidi nikabaini haikuwa nembo ya taifa bali ni picha ya Samia. Wakuu tumefika huku? Sikumbuki kama tumewahi kufika huku...
  3. JamiiForums Tanzania Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja Mataifa linaloshughulikia Idadi ya Watu (UNFPA), Bw. Mark Schreiner katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na mwakilishi wa UNICEF

    Waziri Kombo akutana na mwakilishi wa UNICEF Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Elke Wisck kujadili kuimarisha ushirikiano katika kuwalinda watoto...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mahundi awatembelea majeruhi wa ajali Mbeya, apongeza huduma za Hospitali

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano. Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi anazindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Machi 3, 2025

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa nchini. Bodi hii ni chombo muhimu katika kusimamia viwango vya taaluma ya Uandishi wa Habari...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

    Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama: Serikali yawekeza Bilioni 5 ujenzi wa Jengo la Tiba Mionzi KCMC

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imewekeza Shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la kituo cha tiba mionzi pamoja na ununuzi wa vifaa tiba lililopo katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Kaskazini (KCMC) ili kuboresha huduma hizo za afya na kuwafikia wananchi wengi wa ukanda huo. Waziri wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kabudi kuzindua bodi ya ithibati ya waandishi wa habari machi 3

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Gerson Msigwa imeeleza kuwa uzinduzi huo...
  11. JamiiForums Tanzania Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kamaliza kuwaadhibu Ummy na Makamba teuzi zinakuja. Nape yupo njiani kukamilisha genge la kukimbia na mabox ya kura

    Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa. Naona safari ya Tanga ilikuwa maalum kwaajili ya kutoa msamaha🌚. Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary

    Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge la Hungary wanaounda Chama Rafiki cha Ushirikiano wa Kibunge kati ya Bunge la Tanzania na Bunge la...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sangu Ataka Kanzidata za Wanufaika wa TASAF

    NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka Kaya za walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) ambao ni wanufaika na mikopo ya elimu ya juu kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ajae akiwa kwenye picha ya pamoja na anayetarajiwa kuwa waziri wa afya

  16. JamiiForums Tanzania KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  17. JamiiForums Tanzania KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

    Ndugu zangu watanzania, Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka. Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kikwete kufanya ziara ya siku tatu Mkoani Songwe

    ✅ Atakagua na Kuzindua Miradi ya Maendeleo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu -Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Februari 23, 2025 amewasili mkoani Songwe kwa lengo la ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya Elimu, Afya na Miundombinu kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya wiki mbili utaskia waziri wa nishati

    itaendelea wiki ijayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…