waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mamlaka angalieni Changamoto ya Gharana za Upasuaji wa wagonjwa wa mifupa kwenye Hospitali za Umma.

    Nina utamaduni wa kutembelea wagonjwa Hospitalini na katika jamii inayonizunguka. Katika hali iyo nimekuwa nakutana na wagonjwa wenye Changamoto mbalimbali. Changamoto ya hivi punde ni Gharana za Upasuaji kwa wagonjwa waliopata ajali Na kuvunjika viungo Hospotari ya Rufaa Dodoma (General...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Kindamba: Mwendokasi iligeuka Mwendohasira, hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART), Waziri Kindamba amesema mwendokasi iligeuka kuwa mwendohasira na kwamba hatua zimechukuliwa mabasi mapya ya kisasa 99 yatawasili. Aidha, amesema basi jipya la majaribio linalotumia gesi asilia litakalobeba abiria 155 litaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

    Mbunge Mama Masubiri akichangia hoja bungeni amesema kuna viongozi wanawafahamu ni mashoga ndio maana kuna ukakasi kwenye kukemea jambo hilo Mbunge Mama Masaburi amesema zamani wao ukizaa mtoto wa kiume unasema nimezaa mjeshi lakini siku hizi watoto wa kiume ni nyoronyoro sana Mbunge Mama...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua taarifa ya chambuzi uongezaji thamani Madini muhimu Tanzania

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Upatikanaji wa maji vijijini asilimia 83, mijini 91.6

    Waziri wa Maji Juma Aweso amesema upatikanaji wa Maji kwa Sasa ni asilimia 83 katika maeneo ya vijijini na 91.6 mijini. Kauli hiyo ameitoa Leo bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya Mapato na matumizi kwa Wizara hiyo katika bajeti ya mwaka 2025-2026. Waziri Aweso amesema upatikanaji wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Wahariri kueleza mwelekeo mpya wa sera ya nje

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA WAHARIRI KUELEZA MWELEKEO MPYA WA SERA YA NJE Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mkutano maalum na wamiliki pamoja na wahariri wa vyombo vya habari kwa lengo la kueleza mwelekeo mpya wa Wizara pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo anataka kuwafukuza Wachina Kariakoo kwa kuuza bidhaa bei poa

    Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali atalivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali. Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo. Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde atangaza kiama kwa kampuni 95 za uchimbaji madini

    SERIKALI imetoa Hati za Makosa kwa Kampuni 95 za Uchimbaji Mkubwa na wa Kati wa Madini kutokana na wamiliki wa leseni hizo kukiuka masharti ya Leseni kama yalivyoainishwa kwenye Sheria ya Madini. Akizungumza leo Mei 6, 2025 jijiini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini aliyetweet kumtishia F Kitima police hawakumkamata hadi waziri atoe agizo? Kwani hawakuiona ile tweet?

    Moja ya vitu vinanishangaza sana ni namna mambo fulani hufanywa na vyombo vyetu hasa vya usalama. Mimi ninaamini kuwa police wana wataalamu wa intelejensia wa hali ya juu sana. Na sina hakika kwamba huyu waziri wa mambo ya ndani ni mbobevu kwenye mambo ya kiusalama kuliko wataalamu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Waziri mavunde azindua mradi wa kihistoria wa vijana Nyamongo-Tarime

    Waziri wa Madini Anthony Mavunde amezindua mradi wa uchimbaji Madini ya dhahabu kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu kwa kutoa leseni za uchimbaji mdogo wa madini ikiwa ni utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow (MBT). Amezindua mradi huo leo Mei 03, 2025 katika viwanja vya...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aibwatukia Qatar

    Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu: "Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Mradi wa Kihistoria wa Vijana Nyamongo - Tarime

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MRADI WA KIHISTORIA WA VIJANA NYAMONGO-TARIME ▪️Agawa Leseni za madini awamu ya kwanza kwa Vijana 2000 ▪️Ni utekelezaji wa Maagizo ya Mh. Rais Dkt. Samia ▪️Aupongeza mgodi wa Barrick North Mara kwa kutoa Leseni kwa Vijana wa Vijiji 13 ▪️Benki ya Dunia(WB) na Baraza la...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu wawashukia Waziri Bashungwa, AG Johari

    Mawakili, Peter Kibatala na Jebra Kambole wanaomwakilisha Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika kesi za uhaini na kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni wamelalamikia kauli zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa wakisema zinaingilia kesi hizo katika Mahakama ya Hakimu...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe suala la Malawi ndio tiketi ya kukosa ziwa Nyasa. Najua Serikali haijawahi kufanikiwa kesi

    Tokea kupata uhuru ni serikali ya CCM ndio ipo madarakani, hakuna serikali nyingine mnayowadanganya wananchi kuwa mkinichagua mimi nitaleta maendeleo. Kitendo cha Waziri wa Kilimo Bashe bila kujua uzee wake unaweza kuwa majuto sio marehemu majuto unaweza kupelekea kujuta haya. Malawi...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi, Waziri Mavunde aelekeza mchakato wa mabadiliko ya sheria kuanza

    Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili kuiondoa chumvi katika kundi la madini mengine na hivyo kuchochea ukuaji wa tasnia ya uzalishaji chumvi nchini Tanzania. Hayo yamesemwa leo Jijini Dodoma wakati wa Kikao cha Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde na Uongozi...
  18. JamiiForums Tanzania Lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudishwa kwa mateka- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu

    Netanyahu anasema 'lengo kuu' la vita ni ushindi, sio kurudi kwa mateka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anahudhuria hafla ya kumbukumbu ya serikali ya wanajeshi wa Israeli waliokufa, katika makaburi ya kijeshi ya Mlima Herzl huko Jerusalem, Aprili 30, 2025. (Marc Israel Sellem/POOL) Waziri Mkuu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi ina waziri mkuu kweli? Au tulimuoverate tu kipindi kile cha kufoka foka.

    Nchi kwa sasa inajiendesha yrnyewe na imefila kwenye ile formulae ya survival of the fittest. Kama huauko fit kujilinda basi unatekwa na wasiojulikana au hakuna anayekujali kabisa as if serikali haipo but waziri mkuu yupo na akishtukiwa huwa anaenda kufoka mikoani with no utekelezajia. He is a...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ashiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Viet Nam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya miaka 50 ya Muungano wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam kama mgeni maalumu kufuatia mwaliko wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo, Bui Thanh Son...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…