waziri wa ulinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afanya ziara ya kikazi Nyumbu, aitaka itumike kama nguzo ya sayansi na teknolojia ya ulinzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amefanya ziara ya kikazi ya siku moja katika Shirika la Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), maarufu kama NYUMBU, lililopo Kibaha, Mkoa wa Pwani, kwa lengo la kujionea utendaji wa shirika hilo na kutathmini...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz amuonya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani!!!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz katika taarifa yake kwa Kiajemi: Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Iran, Esmail Qa’ani, hivi karibuni amekuwa akituma vitisho vingi dhidi ya Israeli. Inaonekana picha ya mshirika huyo ilimfaa zaidi kuliko mkao huu wa vitisho vya kipuuzi. Kwa vyovyote vile...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel atoa tamko rasmi 'Hatupangiwi na mtu"-Katz

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini litasababisha shambulio huko Dahieh. IDF itaendelea kufanya kazi nchini Lebanon dhidi ya shirika la...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Damu haikauki; Raul Castro (94), ashtakiwa kwa mauaji ya miaka 30 iliyopita akiwa Waziri wa Ulinzi

    Wakati kakaake Fidel akiwa Rais ye ndo kidume cha utekaji, utesaji, ufiraji, ubakaji na mauaji Lakini hizi jinai za damu huwa haziozi. Methali za mavi ya kale hayanuki ni uongo tulikaririshwa shule. Shule zetu zile zilikuwa mbovu, ndo maana tunaagiza viberiti Kenya. Charge sheet, hati ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Jacob Oboth-Oboth aapishwa kuwa Spika wa Bunge Uganda

    Aliyekuwa waziri wa ulinzi wa Uganda Jacob Oboth-Oboth ameapishwa kuwa spika wa Bunge la 12 la nchi hiyo. Oboth aliteuliwa na chama tawala cha NRM, kuwania nafasi ya spika iliyokuwa na wagombea watatu na alipata kura nyingi kati ya kura 519 za wabunge waliopiga kura. Anachukua nafasi hiyo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz aionya Iran!

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, mwishoni mwa tathmini ya hali kuhusu Iran: Israeli imejiandaa upya kwa ajili ya vita dhidi ya Iran. Jeshi la IDF limejiandaa katika ulinzi na mashambulizi na malengo yamewekewa alama tayari kwa kushambuliwa!! Tunasubiri amri tu kutoka Marekani hasa ili...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi amwakilisha Waziri Mkuu kuchangia Kanisa la Waadvertista wa Sabato Jimbo Dogo la Mara Kaskazini

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 11 Aprili, 2026, katika jimbo dogo la Mara Kaskazini wilayani Tarime, mkoani Mara amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi ashuhudia Jeshi la Wananchi na Jeshi la Marekani wakisaini Makubaliano ya Ushirikiano Kijeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel asema wamemuuwa Mkuu wa Ulinzi wa Iran, Ali Larijani

    Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amesema leo Machi 17, 2026 kuwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, ameuawa katika shambulio la Israel. Ali Larijani amekuwa akijulikana kwa miongo kadhaa kama kiongozi mwenye msimamo wa wastani na mtazamo wa kimkakati ndani ya uongozi wa Iran...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Iran - Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri wa Ulinzi, na Mkuu wa Jeshi wafariki baada ya shambulio la jeshi la anga la Israel

    Katika shambulio la kushtukiza lililotokea leo, Jeshi la Anga la Israel (Israel Defence Forces) limefanikiwa kuwalenga viongozi wakuu wa Jeshi la Iran, kwa msaada wa ushirikiano na Jeshi la Marekani. Mohammad Pakpour – Kamanda Mkuu wa Jeshi kubwa zaidi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC)...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Nigeria ajiuzulu kufuatia hali ya usalama na Matukio ya Utekaji

    Waziri wa Ulinzi wa Nigeria, Mohammed Badaru Abubakar, amejiuzulu mara moja kutokana na sababu za kiafya, Ikulu ya nchi hiyo imethibitisha Jumatatu. Hatua hii imekuja wakati taifa hilo likikumbwa na msururu wa matukio ya utekaji wa watu, hasa wanafunzi, yaliyosababisha Rais Bola Tinubu kutangaza...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi anapumulia mashine

    Tovuti ya Yemeni "Defense Line," ambayo inapinga Houthis, iliripoti usiku kucha ikinukuu vyanzo vyake kwamba Waziri wa Ulinzi wa Houthi, Mohammed Nasser al-Atifi, amelazwa hospitalini akiwa katika hali mbaya sana baada ya kujeruhiwa katika shambulizi la Israeli mwishoni mwa Agosti uliolenga...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amteua Waziri wa Ulinzi Sebastien Lecomu kuwa Waziri Mkuu

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemteua waziri wa ulinzi, Sébastien Lecornu, kuwa Waziri Mkuu mpya, akimkabidhi jukumu gumu la kutafuta muafaka katika bunge lililogawanyika na kusimamia kupitishwa kwa bajeti ya mwaka 2026. Hatua hii imekuja baada ya aliyekuwa waziri Mkuu wa nchi hiyo, François...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Israel akishuhudia Setalaiti OFEK-19 ikirushwa angani!!!

    Hivi majuzi tulishuhudia Israel ikirusha Setalaiti yake yenyewe ya kijasusi angani, Hayo ni maendelea makubwa sana katika nyanja za kijeshi na ki intelijensia mafanikio makubwa kama haya yatailinda nchi ya Israel na watu wa wake!!! HAKUNA MAHALI PA KUJIFICHA Wow, Israel imezindua silaha yake...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez.!!!

    ‼Marekani imetoa zawadi ya dola milioni 15 kwa atakayetoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrino Lopez. You
  18. JamiiForums Tanzania Je ni sawa Waziri wa ulinzi kwenda kufungua miradi ya maji?

    Sijui niseme ni tukio la aina gani kufurahisha au kuchukiza au ni kukosa elimu kwa ofisi uliopewa. Naam tukio hili linamhusisha wazir wa ulinzi wa JAMHURI YA MUUGANO TANZANIA ndug Stergomena Tax akienda kufungua mradi wa maji katika kijiji cha chitohali kata ya mkundi Tandahimba mtwara Wazir...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na JKT afafanua malipo ya Pensheni za Maveterani wa Vita ya Kagera kuanza Julai 2025

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ametoa ufafanuzi kuwa Veterani waliopigana Vita ya Kagera wanatarajiwa kuanza kulipwa Julai 2025 na sio Julai 2026 kama alivyoeleza awali wakati alipokuwa Bungeni, Juni 23 katika Bunge la 12 Mkutano wa 19 na Kikao cha 51...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Breaking News Waziri wa ulinzi Israel aagiza IDF kuishambulia Iran baada ya kukiuka makubaliano ya kuacha ya. Amani baino yao

    . Israeli official: ‘Iran broke the ceasefire, and it will pay’ By Lazar Berman Follow Today, 11:22 am Israel will respond to Iran’s missile attack, an Israeli official says, shortly after Tehran launched at least two ballistic missiles soon after the start of a ceasefire. “Iran broke the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…