Huyu mkuu wa mkoa wa Simiyu angefaa sana katika hii wizara.
Kwanza sio mpenda kiki za kijinga.
Hapendi kabisa walimu waonewe au wadhalilishwe. Ana maono na anajua namna ya kutreat wafanyakazi ili kuboresha Elimu.
Mtaka haamini katika Majengo na vifaa pekee.
Mtaka Ana amini katika walimu...