waziri ulega

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Ulega amsimamisha kazi bosi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

    SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na viongozi wengine wa taasisi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza hatua hiyo jijini Dar...
  2. Mafyangula

    PostGE2025 Waziri Ulega: Natoa miezi miwili ya mwisho kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa miezi miwili kwa kampuni ya Shandong Luqiao Group kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mwenge – Tegeta kama mkataba unavyosema la sivyo serikali itauvunja na kutafuta mkandarasi mwingine. Akizungumza wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa miundombinu ya barabara...
  3. tonicimmobility

    PostGE2025 Waziri Ulega aridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya dharura

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amebaini maendeleo chanya katika ujenzi wa madaraja ya dharura mkoani Lindi, wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi hiyo ambayo imefikia karibu asilimia 90 ya utekelezaji wake. Madaraja haya yamejengwa katika maeneo yaliyoathirika sana na mvua, ikiwemo Somanga...
  4. Mafyangula

    Waziri Ulega Asimamisha Watumishi wa TANROADS Kwa Uzembe Kwenye Mizani ya Mikese

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kusimamishwa kazi watumishi wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) waliohusika na uzembe wa kutoshughulikia tatizo la mizani ya Mikese mkoani Morogoro, jambo lililosababisha foleni na usumbufu mkubwa kwa wananchi.
  5. Roving Journalist

    Wakandarasi wampa Tuzo Maalum Rais Samia, Waziri Ulega asema rekodi yake imetambulika kimataifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan amepewa tuzo maalumu na wakandarasi nchini kwa kuthamini mchango wake na hatua alizochukua kwenye sekta ya ujenzi tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita. Rais Samia alipewa tuzo hiyo ambayo ilipokewa kwa niaba yake na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, katika...
  6. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Aguswa na Mtoto Mwenye Kipaji cha Ujenzi wa Barabara na Madaraja, Aahidi Kumsaidia

    WAZIRI ULEGA AGUSWA NA MTOTO MWENYE KIPAJI CHA UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA, AAHIDI KUMSAIDIA Kufuatia video fupi iliyokuwa ikisambaa mitandaoni, ikimuonesha mtoto Riziwani Martin Asheri mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kibaigwa mkoani Dodoma ambaye ana kipaji cha kujenga barabara na...
  7. Mindyou

    GE2025 Waziri Ulega: Nikishindwa Ubunge Mkuranga haitotawalika

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko CCM. Yaani baada ya harakati za kuua upinzani kushika kasi sasa CCM wameanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe Huyo Hamisi Mtutu anayezungumzia hapo ni Mjumbe wa Baraza la Wazazi Mkoa huko Pwani. Kuna namna huko Pwwani vita ya madaraka imekuwa kubwa...
  8. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Ulega: Miaka michache ijayo Tanzania itajitegemea kikamilifu utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika hafla ya Jukwaa la Fikra iliyofanyika tarehe 22 Juni 2025 katika...
  9. Waufukweni

    Waziri Ulega: Kufanya shughuli za kijamii (kwaya, maulid, picha) Daraja la Magufuli lazima uombe kibali

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema watakaohitaji kutumia Daraja la JP Magufuli kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video za muziki watalazimika kuomba kibali Wizara ya Ujenzi kupitia Meneja wa TANROADS Mkoa wa Mwanza. "Hatutakataza kufanya kazi zozote za kijamii kama vile kupiga picha...
  10. Roving Journalist

    PreGE2025 Ulega ambana Mkandarasi barabara kuelekea Makao Makuu ya Jeshi (JWTZ), amtaka akabidhi barabara Disemba 2025

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO kukamilisha ujenzi wa barabara ya Kikombo – Chololo - Mapinduzi (Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi-TPDF) yenye urefu wa kilometa 16.4 kwa kiwango cha lami ifikapo mwezi Disemba, 2025. Ulega ametoa maelekezo hayo...
  11. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Ulega: Hatutaongeza muda kwa mkandarasi atakaechelewesha mradi

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza msimamo wa Serikali wa kutomwongezea muda mkandarasi atakaechelewesha kukamilisha mradi. Waziri Ulega ameyasema hayo leo tarehe 26 Mei 2025 alipokuwa akikagua ujenzi wa barabara ya Mitesa-Masasi (km 60) yenye thamani ya Shilingi Bilioni 92 na...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Waziri Ulega akagua mradi wa ukarabati barabara ya Mtwara-Mingoyo wa thamani ya Shilingi Bilioni 152 na Mingoyo-Masasi Bilioni 249

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza TANROAD na TARURA kuhakikisha wanawasimamia wakandarasi ili waweze kutoa ajira kwa wananchi wazawa pindi wanapotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja. Waziri Ulega ametoa agizo hilo tarehe 27 Mei 2025 alipotembelea na kukagua mradi wa...
  13. Jidu La Mabambasi

    Serikali yashtuka na DART: Waziri Ulega awalipua wakandarasi wa barabara ya mwendokasi

    At last serikali kupitia waziri wa Ujenzi ndg Abdalla Ulega, imesema rasmi leo kuwa hairidhishwi na spidi ya ujenzi wa barabara ya DART inayotegemewa kuwa ya mabasi ya mwendokasi. Akiongea na makndarasi, katika mkutano wa mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makadarasi CRB, waziri Ulega ameema...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla amtaka Waziri Ulega kusimamia ujenzi wa madaraja kwa ubora

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi and Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amewasili mkoani Lindi Aprili 10,2025 kwa ajili ya ziara yake katika mikoa miwili ya Lindi na Mtwara. Awali baada ya kuwasili mkoani humo alipita katika Kata ya Somanga, Mtama iliyopo...
  15. 6 Pack

    Waziri Ulega hebu acha mikwara, mimi niliwashauri mapema ila wizara yako ikanipuuza

    Niaje waungwana Mheshimiwa waziri Abdallah Ulega juzi kati alituacha na mshangao mkubwa watanzania, kwa kujifanya anawapiga mkwara mzito wachina wanaojenga barabara zetu za mabasi ya BRT. Kwa mtu ambae ndio kwanza anafuatilia mambo hayo ya ujenzi wa barabara za BRT, anaweza kumuona waziri...
  16. Roving Journalist

    Waziri Ulega: Wakandarasi Mwendokasi Awamu ya Nne (BRT 4) wamekuwa wazembe kupita kiasi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
  17. GENTAMYCINE

    Nimemshangaa sana aliyesema hapa JF kuwa Waziri Ulega hajui Kiingereza na katutia Aibu Watanzania kwani amejitahidi na kueleweka vyema tu

    Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
  18. Lord Denning

    Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

    Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza...
  19. KakaKiiza

    DOKEZO Waziri wa ujenzi, Abdallah Ulega waulize TARURA, DMDP kwanini utekezaji wa mradi wa barabara Nyakasangwe wazo hauanzi?

    Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi...
  20. ACT Wazalendo

    Kauli ya Kutaka Kulipia Barabara ya Mabasi ya Mwendokasi Inapaswa Kupingwa Mara Moja

    ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa jinsi serikali...
Back
Top Bottom