waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uingereza: Liz Truss achaguliwa kuwa Waziri Mkuu

    Graham Brady, Mwenyekiti wa Kamati ya 1922 ya kundi la Wabunge wa Conservative ambao si Mawaziri wa Serikali amemtangaza Truss kuwa mrithi wa Boris Johnson aliyelazimika kujiuzulu baada ya shinikizo la Mawaziri waliodai kutokuwa na imani naye. Matokeo hayo yametokana na Kura za wanachama wa...
  2. James Mbatia amtembela Majaliwa ofisi ndogo ya waziri mkuu Magogoni

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Ndugu. James Mbatia, katika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, Septemba 2, 2022.
  3. Malaysia: Waziri Mkuu wa zamani alazwa baada ya kukutwa na UVIKO-19

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa zamani Mahathir Mohamad imethibitisha kuwa kiongozi huyo amekutwa na maambukizi hayo na leo asubuhi amelazwa katika Taasisi ya Kitaifa ya Moyo kwa uchunguzi kama ilivyoshauriwa na timu ya Madaktari Mahathir mwenye umri wa miaka 97 tayari amepata Chanjo dhidi ya virusi...
  4. Hivi Mrema naye alikuwa anapokea 80% ya mshahara wa waziri mkuu?

    Habari, Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu. Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo? Na vipi wajane wa watu kama Waziri Mkuu na Rais, huwa wana stahiki gani? NB: Cheo cha waziri mkuu kifutwe.
  5. B

    Waziri Mkuu Majaliwa yupo mjini Tunis kwa mkutano wa TACID

    26 August 2022 Tunis, Tunisia MKUTANO WA TICAD Mh. Kassim Majaliwa yupo mjini Tunis akimwakilisha rais wa Jamhuri ya Muungano ktk mkutano wa TICAD WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa akipokewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. madame Najla Bouden Romdhane katika uwanja wa ndege wa Carthage, jijini...
  6. Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  7. Mali yamteua Msemaji wa Serikali kuwa Kaimu Waziri Mkuu

    Kanali Abdoulaye Maiga ambaye ni Msemaji wa Serikali na Waziri wa Utawala, ameteuliwa kuwa Kaimu Waziri Mkuu wa nchi hiyo akichukua nafasi ya Choguel Maiga, aliyeshauriwa kupumzika kutokana na masuala ya Kiafya. Mapema mwezi huu, jarida la Jeune Afrique la nchini Ufaransa liliripoti kuwa...
  8. Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

    Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali. Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
  9. Waziri Mkuu wa Japan akutwa na COVID-19

    Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Fumio Kishida imethibitisha kuwa Kiongozi huyo amepima na kukutwa na maambukizi ya COVID-19, ikiwa ni wiki moja kabla ya kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo ya Afrika (TICAD) nchini Tunisia. Licha ya kupata maambukizi, imeelezwa kuwa Kiongozi huyo...
  10. Mahakama ya Malaysia kusikiliza rufaa ya mwisho ya Waziri Mkuu wa zamani

    Mahakama ya juu zaidi nchini Malaysia imeeleza leo kwamba itasikiliza ombi la mwisho la Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak la kubatilisha hukumu ya kifungo chake cha miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi, na kuwa kuachiliwa kwake kunaweza kusafisha njia ya kurejea madarakani. Mahakama hiyo...
  11. Waziri Mkuu Wa Zamani wa Australia ashutumiwa kwa Kuendesha Wizara 5 kwa Siri

    Waziri Mkuu wa sasa, Anthony Albanese anamshutumu Scott Morrison kushikilia majukumu katika Wizara 5 kwa siri, kinyume na Sheria za Nchi hiyo na kuelezea vitendo vya mtangulizi wake kama uvunjifu wa demokrasia Idara ya Waziri Mkuu na Baraza la Mawaziri imesema kuwa Morrison alikua Waziri mwenza...
  12. Waziri Mkuu wa Mali alazimishwa kupumzika

    Waziri Mkuu wa Mali, Choguel Maiga amelazwa katika mapumziko aliyolazimishwa na daktari baada ya kuelezwa kufanya kazi kwa miezi 14 bila kupumzika. Ofisi ya Waziri huyo imesema atarejea katika majukumu yake wiki ijayo, awali taarifa zilisambaa kuwa amelazwa baada ya kuugua kiharusi. Serikali...
  13. B

    Ikungi tunasema asante Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

    IKUNGI TUNASEMA ASANTE WAZIRI MKUU MHE. KASIM MAJALIWA MAJALIWA. Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro amemshukuru waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa kwa kufanya ziara ya ukaguzi na kisha kuweka mawe ya msingi ya chuo cha mafunzo ya ufundi...
  14. S

    Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  15. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Katibu Mkuu ACT, Addo Shaibu Dar

    Julai 29, 2022 Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amezungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Dar es salaam.
  16. Waziri Mkuu: Wanaolalama kupata ongezeko la 20,000 ni wale wenye mishahara mikubwa

    Waziri Mkuu, Kasimu Majaliwa amesema wengi wanaolalamika kupata ongezeko dogo la mishahara ni wale ambao wana mishahara mikubwa. Ametolea mfano wa mawaziri kuwa wako baadhi ambao ongezeko lao ni 0.02% Amewaomba watumishi kuwaamini viongozi wa vyama vya wafanyakazi. Amesema wengi waliopata...
  17. Waziri Mkuu Majaliwa atoa ufafanuzi kuhusu ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi leo Julai 29, 2022

    Sina mengi ni kuanzia saa kumi jioni. Japo wadau wengi hawana imani tena baada ya kupitia uzoefu fulanifulani zilizo tolewa ufafanuzi kupitia ofisi ya Waziri Mkuu. === Aliyoyazungumza waziri Mkuu. Rais Samia Suluhu Hassan tangu ameingia madarakani amehakikisha watumishi wanapata amani mahali...
  18. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara jioni ya leo

    Watumishi mjiandae kutega sikio
  19. Nafasi ya Waziri Mkuu wa Uingereza ni Liz Truss vs Rishi Sunak. Unapenda nani awe PM?

    Bila kupoteza mda twende kwenye mada. Kinyang'anyiro cha Nafasi ya Kuwa PM wa Uingereza ni Kati ya hao wawili baada ya kufanyika Mchujo.. Binafsi napenda Liz Truss ashinde kwa sababu zifuatazo.. 1. Amekuwa bega kwa bega na Boris Johnson kama Foreign Minister kuwanyoonya Russia ndio maana...
  20. Waziri Mkuu wa Italy ajiuzulu kufuatia maandamano. Mbona hatuoni nyuzi zikianzishwa na CHADEMA kutolea mfano Viongozi wetu kama kule Sri Lanka?

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Waziri Mkuu wa Italy amejiuzulu nafasi yake kutokana na Maandamano ya wiki zima Kuhusu ugumu wa maisha.. Mario Draghi amewasilisha hati yake kwa Rais Ili Mchakato wa kumpata PM mwingine uendelee.. Huyu ni Waziri Mkuu wa pili kuachia ngazi huko Barani Ulaya baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…