waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Thailand Paetongtarn Shinawatra asimamishwa kazi Kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu na Hun Sen kiongozi wa Cambodia

    Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Paetongtarn Shinawatra, ambaye anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiuzulu baada ya tukio la kuvujishwa kwa mazungumzo yake ya simu na kiongozi wa zamani wa Cambodia, Hun Sen Klipu hiyo, ambayo Paetongtarn alimwita "mjomba" na...
  2. JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Nataka niwaambie bila amani hatuwezi kupata mafanikio yoyote

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchini ili kuhamasisha maendeleo na kuziba mianya ya kuibuka kwa migogoro miongoni mwa wanajamii. Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili Juni 29, 2025) wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri mkuu wa Poland Yenye UTATA

    Anasema: Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140??? Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dk. Biteko asisitiza Serikali kuendelea Kupambana na Udumavu, Uzito kupita kiasi

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya kilimo na lishe huku akisisitiza kilimo chenye mwelekeo wa lishe kinaweza kupunguza utapiamlo na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Akizungumza...
  6. JamiiForums Tanzania Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

    Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba. Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa. Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina. Pameanza kuchangamka!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu majaliwa azindua mitambo 10 ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

    Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo yenye thamani ya shilingi bilioni 12.41 iliyonunuliwa na...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu kwa kauli hii kuelekea taifa salama zaidi: Sasa ni muda tuwaamini viongozi wenye maarifa na weledi wa kiutendaji siyo umaarufu pekee

    Katika kusikiliza hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ujumbe wake umebeba uzito mkubwa unaweza kugusa hali halisi ya sasa na maono ya nchi yetu kwa miaka ijayo. Kauli hiyo, yenye kina cha uongozi na uchambuzi wa mwenendo wa taifa, inapaswa kutazamwa kama mwanga...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Wanaokuja kuwashawishi mjiridhishe lugha zao haziwaingizi kwenye machafuko. Mliona nchi jirani mizoga ilivyojaa barabarani

    Wakuu, Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema: "Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi mjiridhishe kuwa lugha zao haziwapelekei na nyie kuingia kwenye machafuko yakapoteza usalama na amani ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

    Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi. BREAKING: Netanyahu is running away from Israel for now. According to a special...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la TBS makao makuu Dodoma

    WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  19. JamiiForums Tanzania Ni Waziri Mkuu wa Tanzania au Tanganyika?

    Wataalam wa Katiba mnisaidie hili! Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika? Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika! Isitoshe, nchi ya Zanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…