Wakuu,
Kwa hiyo siku hizi matapeli mnatapeli wakuu wa mikoa.
Huyu baba alikuwa amempigia Mkuu wa Mkoa wa Tabora Whatsap kisha akakata. RC alivyompigia tena akakata kisha akamtumia message kwamba yeye ni Mchengerwa na anataka mchango kwa ajili ya mchango wa harusi ya mwanae
Bila RC ku-confirm...
1. UTANGULIZI
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Sisi, kama, hapa nawasilisha malalamiko rasmi dhidi ya agizo la mdomo lililotolewa na Mhe. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, mnamo Januari 2026, la kumtaka mmiliki wa duka lililo jirani na Hospitali ya Temeke kulifunga mara moja.
2. UHAKIKI WA...
Kinachosumbua mawaziri wengi kwa sasa ni namna gani wanafanya shughuli zao kwa mujibu wa matakwa ya mgawanyo wa madaraka na utendaji kazi.
Wengi wa mawaziri wanaacha kujikita katika kubuni na kushawishi mabadiliko ya Sera na muelekeo wake na badala yake wanajigeuza kuwa watu wa kurepond kwenye...
Songea uko wanafunzi kachoma shule kisa anataka aende nyumbani likizo kupumzika huu ni mfano tu kuwa hawa watoto wanachoka wanaitaji kupumzika
Ratiba ya mihula ipo wazi kwa kueleza siku za masomo lakini imekuwa kasumba sasa kwa shule zetu kipindi cha likizo walimu wanakuja na utaratibu wao kuwa...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imesema jumla ya wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96 wakiwemo wasichana 76,491 na wavulana 73,327 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano katika shule za sekondari za serikali 694.
Akitoa taarifa kwa umma Ijumaa Juni 6, 2025...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wananchi wa Dar es Salaam katika hafla ya uzinduzi wa Soko la Nyama Choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti, amesema kuwa wanaleta vurugu jijini humo ni watu wanaotoka mikoani na wengine kutoka nje ya nchi.
Aidha...
Hivi haya Matamko ya Kibabe ya Waziri Mchengerwa ndivyo Mawaziri wote wa TAMISEMI wanatakiwa kuyatoa au Yeye ni 'Waziri Special' wa TAMISEMI ya sasa?
Naomba niwekewe List hapa ya Mawaziri wa TAMISEMI wa Tawala zote Tano zilizopita tokea Uhuru wa Taifa letu la Tanzania na ikiwezekana pia kama...
Kwa kile kinachoonekana mbunge wa Vunjo Dk Charles Kimei kuchokwa na wapiga kura wake baada ya kujikuta akipata wakati mgumu mbele ya waziri wa Tamisemi Mohamed Mchengerwa pale alipoanza kuzomewa na wananchi wake, hali iliyopelekea waziri Mchengerwa kuingilia kati na kuwasihi wananchi waache...
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
Hali ilivyokuwa asubuhi ya leo katika Kituo cha Mwendokasi, Kimara jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa mashuhuda, abiria waliamua kuingia barabarani na kusimamisha basi kwa nguvu, baada ya kukaa kituoni kwa muda mrefu huku mabasi yakipita bila kusimama.
Baada ya kusubiri kituoni kwa saa...
Madiwani Maswa kwenda Mbarali kujifunza kilimo cha mpunga hayo ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi.
Madiwani hao wamebakiza miezi miwili baraza hilo livunjwe sasa kuwapeleka Mbarali kuna tija gani wakati zao la mpunga kwa wilaya ya Maswa linalimwa maeneo ya Malampaka na wakulima wanapata...
Watanzania wengi wa Vijijin na mijin walikua hawajui ukweli huo kua WAZIRI WA TAMISEM , Mh Mchengerwa Kaoa Mtoto wa Rais Samia.
Waziri Mchengerwa ndio Waziri mwenye kusimamia Uchaguzi Mkuu unaojumuisha Vyama vingi vya Siasa.
Haya ni maajabu, ni maajabu Duniani kote ambapo utakuta Waziri...
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa awatolea uvivu wakandarasi wa kigeni ambao ni wababaishaji wanaoshindwa kukamilisha miradi kwa wakati, ataka mikataba yao ivunjwe na warudishe hela zote walizopewa na serikali.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amewaelekeza Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia utoaji wa asilimia 10 ya mikopo ya halmashauri ili kusiwepo na vikundi hewa na kusema wilaya na mikoa...
Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria.
Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi.
====================
"Sasa niliona ile...
https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025.
Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amepongeza vyama 19 vya siasa kwa kushiriki kwa uwazi na utulivu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, licha ya baadhi yao kushindwa kupata nafasi mbalimbali za uongozi.
Akizungumza Novemba 28, 2024, jijini Dodoma wakati...
Uchaguzi ni mchakato wa amani, huru na haki. Waziri Mchengerwa anapaswa ajiuzulu kutokana na mauaji ya watu watatu katika kipindi cha maandalizi ya uchaguzi.
Kama mhusika Mkuu wa uchaguzi husika anapaswa awajibike kutokana na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi. Kama hatajiuzulu mwenyewe...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaelekeza wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi kuwasaidia wapiga kura kusoma orodha ya majina vizuri ili wote waliojiandikisha wapate fursa ya kupiga kura.
Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.