waziri kijaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Kijaji: Serikali itatoa Shilingi Bilioni 8.1 kukarabati miundombinu Serengeti

    Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema serikali itatoa shilingi bilioni 8.1 kwa ajili ya matengenezo ya miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha baadhi ya magari ya watalii kukwama kuendelea na safari kwa muda mrefu...
  2. Just Pray

    Waziri Kijaji asema zoezi la Utambuzi wa wanyama litafanyika bure

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la Utambuzi wa wanyama sasa litafanyika bila gharama yoyote kutoka kwa wafugaji baada ya Serikali kuamua kugharamia zoezi hilo. Mhe. Dkt. Kijaji amesema hayo wakati wa mkutano baina yake na wafugaji uliofanyika Februari 19...
  3. Suley2019

    Waziri Kijaji: Tanzania ina viwanda vya chuma 28 vyatoa ajira 25,358 kwa Watanzania

    Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 28 vya kuzalisha chuma na bidhaa za chuma. Dkt. Kijaji ameyasema hayo Leo mei 21,2024 Bungeni Wakati akiwasilisha Hoja ya Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya...
Back
Top Bottom