wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

    Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi. Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

    Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao... Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Haya yanayotendwa na watawala wa Kiafrika ni wazi bado Africans tuko kwenye bottom/middle of evolutionary tree of our brains

    Sijui tuko hatua gani kwenye diagram hii FlipFact of the Day: To this day, the topic of human evolution remains hotly debated. Those who support the idea of natural selection typically find themselves in opposition to those who believe that humanity was purposely, intelligently designed by...
  4. JamiiForums Tanzania Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli Tata za Samia Zilizowaacha watu MIdomo wazi huku hawaamini kama Mkuu wa Nchi anaweza kutamka Maneno haya.

    GT Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
  6. JamiiForums Tanzania Huu mstari wa Biblia Umeniacha mdomo wazi

    Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba. And it shall...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  8. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Bunge limechoka kujificha, sasa ni wazi kuwa si chombo wakilishi cha wananchi bali cha kumuwakilisha Rais

    Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais. Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: PICHA: Huyu Kumrithi Dkt Emmanuel Nchimbi Ukatibu Mkuu wakati wowote

    || Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa Muungano baada ya kazi nzuri ya Dkt Emmanuel Nchimbi ni lazima awe na sifa hizi zifuatazo au...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Ameongeza kuwa, "Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi." Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA? WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana...
  12. JamiiForums Tanzania Sugu, jimbo la Mbeya Mjini liko wazi, jiunge na chama kikuu cha upinzani CHAUMMA usepe na kijiji

    Kwa sasa Sugu njia nyeupe Mbeya Mjini. Ni yeye tu aachane na siasa za darasani (academic politics) aende saiti
  13. A

    JamiiForums Tanzania Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

    Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania. Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali...
  14. JamiiForums Tanzania Chakra zilizo wazi: dalili zake

    CHAKRA ZILIZO WAZI: DALILI ZAKE 1. Root Chakra (Muladhara) Ikiwa unahisi kuwa: Una maisha yenye msingi mzuri, salama na usalama wa kimwili na kifedha Unahisi kuwa na uhusiano wa karibu na dunia, mazingira na mwili wako Una nguvu, uthabiti na huogopi kesho Basi Root chakra yako iko wazi...
  15. JamiiForums Tanzania Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

    Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
  16. JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  17. JamiiForums Tanzania Tulivyo Busy Kutafuta Majina Magumu Ya Kiingereza au Kiarabu Kuwapa Wana Wetu Ni Wazi Maungoni Bado Ni Watumwa!

    Katika jamii nyingi za Kiafrika leo hii, kumekuwa na mtindo unaokua kwa kasi wa wazazi kuwapa watoto wao majina ya Kiarabu au Kiingereza, wakiyaona kuwa ni ya kisasa, ya heshima au ya hadhi kubwa. Kile kilicho kizuri na cha heshima kwao sasa kinapimwa kwa jinsi kinavyokaribia "ule ulimwengu wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli

    Samia asitulazimishe uchaguzi wowote kama utakuwa wa haki basi tufanye mabadiliko kama hataki ni wazi uchaguzi ni wakitapeli. Hatuwezi kushiriki uchaguzi ukawa wa haki ikiwa hata maamuzi ya uchaguzi ufanyike vipi umeegemea tu upande mmoja, kama ni haki na huru twende tukafanye mabadiliko kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

    Mwanangu Tundu Antipas Lissu Mughwai, Salamu toka kwa baba yako na wapenzi na mashabiki wako. Nakusalimu kwa jina la Jamhuri yenye haki ya Tanzania. Japo tunawasikia wakihaha, uzuri ni kwamba wamekuficha na kushindwa kukuchafua na kukufuta kwenye nyoyo zetu na ulingo wa siasa hata kama ni za...
  20. JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…