wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania CCM lala hoi mjue mnapoapa kulinda CCM jueni wazi, mnatumiwa kuzilinda familia 3

    Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM. CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye ambao umasikini wako wewe mwanaccm sio kipaumbele chao zaidi ya kuongwa kanga na kofia ili...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

    Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

    Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mtume Mohammad (S A W)

    As-salatu na salam, ewe Rasul wa Rahma, Nuru yako bado inang’aa, hata karne zikipita, Tumekuletea kilio cha Umma, kutoka Tanganyika hadi Gaza, Kwamba hatuwezi tena kuishi bila mwongozo wako. Baada yako, Bakr al-Siddiq aliweka msingi, ʿUmar akaleta adili, ʿUthmān mnyenyekevu, ʿAlī jasiri...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama wa CHAKUHAWATA wadai Uongozi wao ndio tatizo, waomba mapato na matumizi yawekwe wazi

    Baadhi ya Wanachama wa Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA), Mkoa wa Katavi, Mwl. Benjamin Masingija Masai na Mwl Nyavidunda David Mhule wametoa maoni yao wakidai kuna mambo yanayoendelea na yanachangia kukipunguzia nguvu chama hicho. Wameyasema hayo August 19...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Babu Seya ilionesha wazi kuwa Tanzania Mahakama zetu zinafanya kazi kimalekezo

    Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya. Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo. Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Makongorosi Chunya mdada ambaye Hana phycologist PM Iko wazi.

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Asante.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi yaweka wazi ratiba ya Uchukuaji Fomu kwa Wagombea wa Urais na Makamu Rais

  10. U

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Wafu hawajui chochote kwanini Mtume Yohana alionyeshwa wazi wazi ROHO za. Wafu waliuawa zikimlilia Mungu awalipizie kisasi Watesi wao?

    Biblia inajichanganya? Uelewa mdogo? Rejea ufunuo wa Yohana ambao ni kitabu cha mwisho kibiblia
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

    Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe
  12. JamiiForums Tanzania Although it’s too late, Polepole ana hoja. Ni wazi ipo CCM malifedha, na wale wa CCM itikadi!

    Itikadi haina utofauti mkubwa na imani ya kidini, ndani ya CCM, labda tuiite ya kileo, inaonekana dhahri CCM hii ni CCM malifedha, wale wenzangu na miye wa CCM itikati hakika inatutatiza kweli kweli. Namaanisha siye tuliyecheza kwata, kwata ilikuwa unatandika mguu chini kwa kishindo wakati...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  14. JamiiForums Tanzania Kitakachoikoa CCM ni mchakato wa wazi na live kama ule wa CHADEMA

    Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana. Chadema walitoa mwanga...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya master planner haiwezi kamwe kubaki wazi, akitoka tu mwengine au kikundi kitaijaza, Mnataka master planner mkabila / mkanda / mdini ?

    Kuweni makini sana na hicho mnachokitamani. Ukweli siwezi kuwaficha na upo wazi, Hata iweje, Hio nafasi mnayotamani master planner achomoke haiwezi kubaki wazi, Never ! Ni lazima itajazwa muda huo huo haraka sana. Na wataojaza kuna risk kubwa wawe wametoka kabila kubwa (Nyerere alishaelezea...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru

    Kwa shtuma za uvunjifu wa katiba ya chama wazi wazi ya CCM mwenyekiti alipaswa kujiuzuru. Kuna uvunjifu mkubwa wa katiba ya CCM hasa kipindi hiki ikiwemo mchakato wa wagombeaji kupatikana kinyume cha katiba. kama mtu atavunja katiba ya chama basi atavunja katiba ya nchi hatoweza kuheshimu ni...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Ukubwa na umuhimu wa ccm katika kuiongoza nchi wajidhihirisha wazi kwa umma wa waTanzania

    Macho, maskio na shauku za waTanzania wote kutaka kujua au kufahamu kinachoendelea ndani ya makao makuu ya chama taifa ni kubwa mno. Watanzania wanatamani kujua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao chini ya uongozi madhubuti wa ccm imara inayoongozwa kisanyansi na Dr.Samia Suluhu Hassan...
  19. JamiiForums Tanzania Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi

    Kuwa na uwoga kwa uongozi ndio chanzo cha uongozi huo kutokuwa na uwajibikaji na uvunjifu wa katiba wazi wazi. Maneno haya nime yatafsiri kutoka kwa pole pole, katika uhalisia mtu anaweza kuwa kiongozi mbaya kutokana na mazingira anayo yaongoza, mfano samia amevunja katiba wazi wazi ya chama...
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Napa kama umekaa kutrace watu japo siweki wazi kama programmer

    Kuna mfumo ambao ulianzishawa wakati mifumo ya idara nyingi zinaweza kuwa sehemu zake ila nimeona sababu ya kushtuka sio kila mambo kuweka wazi. Hii App Napa kwa mtindo ambao kama tutamaliza mzozo wa mambo ya katiba na mifumo mibovu ya serikali basi leo msije kusema mpo salama. Mfumo huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…