wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    USIKURUPUKIE SITI ILIYOKO WAZI UKAJUA NI FURSA YA KUKAA JUA KWANZA KWANINI IKO WAZI ILIHALI KUNA WATU WAMESIMAMA NA WANAIONA

    Yawezekana kweli hawataki kuikailia ila pia yawezekana yenyewe ndio haitaki kukaliwa hivyo ukiona siti iko wazi usikurupukie . Mganga anakwambia atakupa utajiri wa mabilioni jiulize kwanza kwanini yeye hayataki hayo mabilioni na kwanini ndugu zake hajawapa hayo mabilioni ikiwa yeye hayataki je...
  2. M

    Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  3. PreGE2025 WanaCCM mnabeep? Kama uchaguzi ukiwa huru na wazi Rais Samia hawezi kumshinda Lissu

    Hivi mmetumwa kujaribu upepo wa kisiasa? CCM imechafuka kwa kila uchafu, utekaji , kurithishana madaraka, wizi, sakata la bandari, kubambikia watu kesi (Rejea kesi ya Lissu mpaka shahidi hajui kielelezo kilipo. Leo hii hii uchguzi uwe huru na wa haki Rais Samia hawezi kumshinda Lissu. Ole...
  4. Y

    Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  5. Dunia imeniacha kinywa wazi!

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA 🌍 Kusema ukweli sina siku nyingi sana tokea nimefika katika hii dunia, nina jumla ya wastani wa siku 10,800 sawa na miaka kama 30 hivi au 29., Kwenye kipindi chote nimekuwa hapa kuna mambo yameniacha kinywa wazi sana, naamini hata na wewe ndugu msomaji...
  6. L

    Kamanda wa Marekani aweka wazi kwamba, alikwenda Afrika kuilenga China!

    Katika mkutano wa ulinzi wa Afrika uliofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, Kenya, Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Michael Langley, aliweka wazi kwamba kwa kufuata amri ya waziri wa ulinzi wa Marekani, mkutano huo uliandaliwa na Marekani na lengo kuu ni...
  7. Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  8. Kwanini Nguo za akina MAMA zipo wazi chini? Wanatembea wakiwa wazi kuelekea ardhini?

    Hili ni swali naomba majibu. Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini? Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao...
  9. Godbless Lema fungua Kesi ya kudai Fidia, kuna Bilioni 3 za wazi

    Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti. Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde. Nadhani utakua umeiona Wafungulie...
  10. M

    Biblia imeandika wazi kuhusu wajane na wagane kwelikweli. Si kama hawa wa siku hizi wahuni tu

    Pomoja na biblia kutowa mwongozo kuhusu wajane wa kweli na wagane wa kweli.Lakini kumekuwa na tatizo kubwa la watoto na watu wazima ombaomba jambo ambalo linatafakarisha na kudhalilisha. Kuna watu wanaoombaomba wanaviungo vyote,au wanaupungufu wa akili kidogo lakini unaona kunashida ktk...
  11. O

    Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  12. Barua ya Wazi kwa Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

    Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mheshimiwa Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
  13. Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  14. D

    Kwa Ibada zinazoendelea nchini ni wazi wachochezi watapata pigo kubwa sana

    Jana nimefutilia ibada nyingi za Eid El hadha, mahuburi yoote na Dua Ilikuwa ni Amani Tanzania na kuombea uchaguzi. Leo nimefuatilia ibada za kikristo kupitia vyombo vya habari kama Tumaini Tv (Catholic - St Joseph), Hope TV (Sabato), Upendo TV (Lutheran -Kinyerezi), Arise and shine Tv (Kawe)...
  15. M

    Iko wazi kwa sasa mama anahujumiwa kwa akili ya juu sana

    Huu ni ukweli mchungu. Haihitaji degree kujua kwa sasa kuna watu wazito karibu na mama wanaosukuma karata zao kwa umakini mkubwa huku wakimwingiza mama kingi. Ubaya ni kwamba hawa waovu hawajitokezi hadharani kufanya uovu wao... Kwa mfano kuwatumia hawa zero brain kama Steve kukisemea chama na...
  16. R

    Haya yanayotendwa na watawala wa Kiafrika ni wazi bado Africans tuko kwenye bottom/middle of evolutionary tree of our brains

    Sijui tuko hatua gani kwenye diagram hii FlipFact of the Day: To this day, the topic of human evolution remains hotly debated. Those who support the idea of natural selection typically find themselves in opposition to those who believe that humanity was purposely, intelligently designed by...
  17. Qattar inasema inataka iweke wazi kwamba Marekani ndiyo iliyoiomba iwapatie ndege moja kwa matumizi ya rais

    Tangu raisi Trump atembelee nchi tatu za kiarabu za mashariki ya kati na kupewa zawadi kede kede minongono imekuwa mingi hasa juu ya Qattar kuipatia Marekani ndege moja ya fakhari sana kwa matumizi yake ya kumsaririsha raisi huku na huko ndani na nje ya nchi. Hatimae Qattar imesema kupitia...
  18. Kauli Tata za Samia Zilizowaacha watu MIdomo wazi huku hawaamini kama Mkuu wa Nchi anaweza kutamka Maneno haya.

    GT Kiufupi sana samia hakujiandaa kuwa raisi lakini pia hata wasaidizi wake wameshindwa kumsaidia kuwa Raisi.mzuri, sasa wanachofanya .ni Kulazimisha kila Kitu kwa mabavu Baadhi ya kauli hapa chini ni Ushahidi tosha kwamba Mkuu wetu wa nchi hana karama hiyo ya uongozi Unaweza ukaongezea...
  19. Huu mstari wa Biblia Umeniacha mdomo wazi

    Je, Hii Nchi ya Tiro Bado Ipo? Kama Haipo, Je Huu ukahaba Tiro alishaufanya? ======== Isaya 23:15-18 [15]Basi, itakuwa katika siku ile, Tiro utasahauliwa miaka sabini, kadiri ya siku za mfalme mmoja; hata mwisho wa miaka sabini, Tiro utakuwa kama vile ulivyo wimbo wa kahaba. And it shall...
  20. A

    Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…