wayahudi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ujerumani iliwahi kuwaua binadamu zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya (European...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri wa muuza madafu kwa Watanzania wa Diaspora: Msiendelee kujiharibia, muwaige diaspora ya Wayahudi

    Leo jioni baada ya hekaheka za ziara ya viongozi wa ACT Wazalendo visiwani Zanzibar, nikaamua kupita kwenye kijwe kimoja maarufu hapa Kijitoupele. Naikumbuka sehemu hii niliwahi kusikiliza hotuba ya komandoo mzee wetu Salmini Amour katika moja ya mikutano yake akiwa raisi alipoamua kuchekesha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuyafunua yaliyofunikwa: Historia ya kweli ya Uyahudi na Wayahudi

    UTANGULIZI Masiku yamepita huku nikitamani sana kuandika chochote kuhusu Uyahudi na Wayahudi. Kuandika kuhusu chimbuko lao, kuandika kuhusu uhusiano wao na wana wa Israeli,kuandika kuhusu itikadi zao, kuandika kuhusu madai yao kwa nabii wa Mola muumba Musa mwana wa Imraan mwana wa Quhaata mwana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupoteza maisha yetu kwa ajili ya wazungu na Wayahudi

    Sisi miafrika ndio mibaguzi kupita wote. Cha kuhuzunisha tunabaguana wenyewe kwa wenyewe na kuchukiana. Mungu amlinde na kumjalia afya na maisha marefu president Trump. Kitendo cha yeye siku ile kushika silaha ya hatarii kuliko zote THE HOLY BIBLE yani whitehouse tena kwakr ni kitonga. Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania Wayahudi wakwepa kero kwao msimu wa Christmas waja Tanzania

    World citizen good morning, Kuna ugeni mkubwa wa watalili kutoka Israel umeingia bongo land ni taarifa nimepata hivi karibuni, nadhani wengi watakuwa wanakerwa na sherehe ya Christmas huko kwao wakaona isiwe tabu ngoja tuwapishe mkimaliza tutarudi, kutokana na Watanzania wengi kutokujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…