watumishi wa serikali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Watumishi wa Serikali kuongelea mambo nyeti ndani ya SGR

    Kumekuwa na tabia ya watumishi wengi wa Serikali kujadiliana au kufanya kazi za Serikali ndani ya Treni ya SGR. Kwa Usalama wa data za Serikali, hili haliko sawa kutokana na baadhi ya mazungumzo hayo huwa yanahusu mustakabali wa nchi na pia ufanyaji wa kazi za Serikali kwenye laptop husababisha...
  2. H

    DOKEZO Minada ya mali chakavu za serikali inayofanywa na watumishi wa serikali au wahakiki mali ichunguzwe

    Habarini, Mida ya mali chakavu za Serikali zinazouzwa kama vile fenicha, magari n.k imekuwa ikifanywa na Watumishi wa Serikali na mhakiki mali ambao kiuhalisia wanaleta urasimu mkubwa kwenye fedha zinazopatikana kwa maslahi yao hasa kwa upande wa magari. Inakuwaje watumishi na wahakiki mali...
  3. Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu August umetoka?

    Mshahara wa watumishi wa serikali mwezi huu umetoka?
  4. Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari

    Hakuna watu wanaonaga wameyapatia Maisha, kama watumishi wa serikali wakiwa wamepanda kwenye hizi gari V8 Land Cruser Range Rover G-wagon Harier n.k...
  5. Kama watumishi wa serikali za mitaa walio chini ya Mkurugenzi ambae ni mteule wa rais ndio wasimamizi wa uchaguzi , uchaguzi hauwezi kuwa huru

    Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi...
  6. Muhimu kwa watumishi wa serikali ya Tanzania kuhusu siasa za CCM

    Mimi ni mtumishi wa umma kama wengi tu mliopo humu. Inanishangaza sana ninapoona mtumishi (mtumwa) kushabikia siasa za CCM. Sababu kubwa inayonifanya nishangae ni CCM kuwakandamiza watumishi kwa yafuatayo 1. Kuwalipa mishahara midogo. Imagine mbunge alipwa posho ya kikao 620,000? kwa siku huku...
  7. B

    Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Habari za muda wakuu , poleni na majukumu, Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
  8. B

    Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  9. R

    Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  10. R

    Ona maajabu ya Tanzania kuhusu vipato vya watumishi wa serikali

    Mbunge Kazi: Mgonga meza bungeni hana hata cheti cha la saba. 1. kugonga meza pekee 560,000 kwa siku 2. mshahara 18,000,000, kwa mwezi 3. gari milioni 110, mkopo na pengine wanasamehewa 4. mkopo hazina bilion 1 na unalipa nusu pekee 5. bado rushwa a hapa na pale kwenye kamati zao 6...
  11. Asilimia 80 ya watumishi wa serikali ni weupe kichwani

    Ukitaka kuyagundua Haya kaa nao piga nao story yaani wengi wao ni weupe kichwani , yaani mtu hajui hata maana ya neno "hacking" wakuu Sio Siri kitaa kinachangamsha kinamfanya mtu awe mbunifu na kufikiria kwa kiwango kikubwa. Kwanini mtu akishaingia kwenye mfumo baada ya muda fulani anakuwa...
  12. S

    Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

    Habari za jioni. Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo. Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda. Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona...
  13. Z

    Kwa taarifa ya CAG watumishi wa serikali hawalipwi madeni yao, na bado wanashabikia serikali!

    Utumwa unaweza kuwa ni hiari ya moyo. Ina maana miaka mingi hawa watumishi wa serikali wanaidai serikali, hailipi na wao wanaendelea kusifia, " anaupiga mwingi". Hii ni akili ya kawaida? Kwa watumishi wa aina hii TZ inategemea kuendelea? nilidhani ni walimu tu ambao huwa wansombwa na baadaye...
  14. Anthony Mtaka: Watumishi wa Serikali mkianza kuingiza kipato nje ya mshahara, mtaheshimu Wafanyabiashara

    Mkuu wa mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ameonya tabia ya watumishi wa umma wanaopanga ushuru mkubwa wakiwa wamekaa maofisini bila kujua shida wanayopata wawekezaji na kisha kumtaka kila mtumishi awekeze ama afanye biashara ili anapopanga ushuru ajue shida za walipa kodi kwa uhalisia . Mtaka...
  15. Naibu Waziri wa Bishara Exaud Kigahe awatuhumu watumishi wa TBS kwa kupokea rushwa. Ataka wafanyabiashara wa kigeni wasakwe!

    Wakuu, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe, amesema baadhi ya watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA) na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wamekuwa wanapokea rushwa na kuruhusu bidhaa duni na kuendelea kuuzwa mitaani, hivyo kuhatarisha afya za watumiaji. Akiwa ametembelea Shirika la...
  16. Dkt. Doto Biteko: Usichukue muda mwingi kulinda cheo, chukua muda mwingi kutoa matokeo katika kazi yako

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watumishi wa Wizara yake kutumia muda mwingi kufanya kazi na sio kulinda vyeo vyao. Waziri huyo amebainisha hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha Menejimenti ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake jijini Dodoma. “Usichukue...
  17. Kunambi: Rushwa huanzia kwa viongozi wa juu tusiwahukumu watumishi wa ngazi za chini

    Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, ametoa rai ya kulenga uwajibikaji kwa viongozi wa juu kama njia ya kudhibiti tatizo la rushwa katika taasisi za umma. Akizungumza bungeni jijini Dodoma, Oktoba 29, 2024, Kunambi ameeleza kuwa utamaduni wa utawala hujengwa na viongozi wa juu wa taasisi...
  18. PreGE2025 LGE2024 Nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo

    Naomba kujuzwa wakuu kuna Ofisi nimeenda Ofisi ya Mkuu wa Mkoa muda wa kazi watumishi wa Ofisi husiku wote hawapo, hii imekaaje? Nimeondoka bila kupata huduma yoyote nimepoteza muda na pesa naomba msaada hawa watu niende nikawatolee wapi malalamiko yangu hawa watumishi wa namna hii? Wanapigiwa...
  19. Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  20. TAMISEMI fanyeni uhamisho wa Maafisa Utumishi wa Halmashauri, waliokaa muda mrefu utendaji wa kazi kimazoea

    TAMISEMI wahamisheni Maafisa Utumishi waliokaa kwenye kituo kimoja cha kazi kwa muda mrefu (Zaidi ya miaka 5) maana utendaji wao wa kazi umekuwa wa kimazoea. Mfano kuna halmashauri moja Naafisa Utumishi wamekaa hapo kwa miaka 10 toka wameajiriwa, wanafanya kazi kwa mazoea na wanajibu Watumishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…