watumishi wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DC Mpogolo: Watumishi wa Afya msiwe na kigugumizi katika kupata chanjo

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo. Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

    mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo. sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna...
  3. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Watumishi wa Sekta ya Afya ni 41% ya mahitaji halisi

    Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi Ametaja baadhi ya sababu za upungufu kuwa ni kustaafu kazi, kufariki dunia na kuongezeka kwa idadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…