watumiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Mfumo wa pombe na Sigara fake umeingiza madawa ya kulevya, ambayo watumiaji tunaona dalili za mateja

    Ukweli useme na mpaka sasa nchi yetu kuna madawa ya kulevya.Kuna siku nilienda kumywa pombe ambazo zinaongoza kwa majina ila unakuta utazani kuna kipindu pindu.wakati sio sehemu. utumbo wako unajiuliza mpaka nzi kutofikia. haya leo.Nimegundulika na tumia madawa ya kulevya wakati sio mtumiaji...
  2. A

    KERO Barabara ya kuelekea CBE Mwanza imeharibika na ni hatari kwa Watumiaji

    Hii ni sehemu ya barabara la Mwanza ukiwa unaenda Chuo cha CBE Mitaa ya Nyakato Mecco, unaweza kujua ni mto kumbe ni barabara. Barabara la Kangae, sasa hivi ni miezi 9 tangu hali imekuwa hivyo ya shimo na kuharibika. Tangu yatokee maafali ya Chuo cha CBE wahusika walikwangua Barabara, shughuli...
  3. A

    KERO Pwani-Kibaha: Magari ya mchanga yasiyofunikwa, yanatuathiri watumiaji wengine wa barabara

    Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka. Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
  4. K

    KERO Magari ya Dangote kupaki barabarani (Old Morogoro Rd) maeneo ya TANITA kueleka Mwendapole imekua kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Watumiaji wa barabara ya Morogoro hususani tunaokwepa foleni kutoka picha ya ndege kuelekea Mlandizi tumekua tukitumia old Morogoro road ila kwa kipindi kirefu tumekua tunapata shida tunapofika maeneo ya TANITA na Mwendapole kutokana na msululu mrefu wa Magari ya Dangote yanapark barabarani na...
  5. A

    KERO Soko la Mawenzi mjini Mororgoro ni chafu na ni hatari kwa afya ya binadamu hasa nyakati za mvua kutokana na uchafu unaotupwa holela

    Soko la Mawenzi ndiyo kiunganishi Cha wakazi wa Morogoro. Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kwa hili kuepuka magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu. Licha ya viongozi kuchukua hela za ushuru kila mwezi lakini hawaangalii afya za watumiaji wa soko Hilo. Ni kero kwa sisi wateja hata watumiaji...
  6. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  7. Pakome

    Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  8. youngkato

    Watumiaji wa Router za vodacom na tatizo la internet

    Nimekuwa nikikutana na changamoto ya kupata internet. Account iko paid, connection zote zipo sawa. Nikipiga simu naambiwa ni tatizo la kiufundi. Naomba kujua kama na nyie mnakutana na changamoto kama hii na jinsi ya kuiondoa
  9. Mad Max

    TECNO Spark 40 ni mfano wa simu zinazofanya watumiaji wa TECNO wadharaulike!

    Hawa jamaa sijui uwa wanafikiria nini katika muundo wa simu zao . Simu ina camera moja nyuma ila designer anaweka marings matatu ili waonekane kama iPhone macho matatu, na wateja wasiojua wananunua wakidhani ina camera tatu kweli.
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tetesi: iPhone 18 kuja bila Dynamic Island, Watumiaji waanza kulalamika

    Toleo jipya la iPhone 28 Pro na iPhone 18 Pro Max halitakuwa na Dynamic Island na Face ID itakuwa chini ya kioo. Ikumbukwe, Dynamic Island ilianza kutumika kwenye iPhone 14 Pro na kuendelea. Baadhi ya wadau wameanza kulalamika kuwa iPhone zinarudi kwenye muundo wa simu za android...
  11. Pakome

    Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  12. M

    Hivi mtu mwenye akili unatumiaje simu ya Itel, Infinix na Tecno?

    Hivi mtu na akili yako kabisa unatumiaje hizo simu tajwa hapo juu? Kwanza kwani hizo ni simu? Au mabomu tu ambayo yametengenezwa na wachina? Kwanza mimi nikimuona mtu anatumia simu tajwa hapo juu sijui namuonaje sijui namuona kama sometime akili zake zimeruka au amewehuka kabisa yaani wewe...
  13. Mad Max

    PostGE2025 Kwanini Airtel hawafidii zile siku ambazo internet ilizimwa kwa watumiaji wa unlimited internet?

    Wakuu, October mwishoni hadi November mwanzoni internet ilizimwa. Sasa kuna watumiaji wa unlimited internet kutoka Airtel tulikua tushalipia, lakini kwann ilo week hawajafidia? Tarehe yao ilipofika tu bando limekata?
  14. Chizi Maarifa

    Je, Anjari ni salama kwa afya za watumiaji hasa huko Tanzania?

    Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa. Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na...
  15. JanguKamaJangu

    TCRA: Watumiaji wa Huduma ya Intaneti wameongezeka kutoka Milioni 54.1 (Juni 2025) hadi Milioni 56.3 (Septemba 2025) sawa na 4.1%

    Huduma ya intaneti inaonesha kuongezeka utumiaji kutoka milioni 54.1 mwezi Juni 2025 hadi kufikia milioni 56.3 mwezi Septemba 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 4.1. Kwa mujibu wa ripoti ya takwimu ya sekta ya Mawasiliano ya robo mwaka inayoishia Septemba 2025 inaonesha idadi ya...
  16. JanguKamaJangu

    KERO Maktaba ya Mkoa wa Lindi mmh! Ni Mungu tu ndio anajua wanaoitumia wanajisikiaje, ni mbovu na si salama

    Juzi kati nilienda Mkoani Lindi kumtembelea ndugu yangu wakati huu wa likizo, kuna jambo nililikuta huko na kuniacha mdomo wazi. Wenyeji wangu waliniambia kwa kuwa wao wako bize walilazimika kwenda kuwatafutia uanchama Watoto wao kwenye Maktaba ya Mkoa ili wapate nafasi ya kujisomea, lakini...
  17. Black nyeti

    Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  18. E

    Kwa watumiaji wa android Tv kuperuzi Netflix

    Habar za mda huuu wakuu Kwa watumiaji wa android Tv naomba kuuliza aiseh nmenunua smart tv na lengo langu nlikuw napenda kutumia Netflix ila kuna kipengele nikiwa nafungua Netflix inaniletea get started afu kwa pembeni kuna log in ila sasa nabonyeza kila pande nashindwa sehem ya kupitia...
  19. K

    Watumiaji wa Iphone ni wana shida fulani ya akili

    Watumiaji wa iphone wana kautindio flani hivi nimeona kwa watu kumi na hii ndiyo researvh finding yangu
  20. Manyanza

    Tafafakari yangu na maoni yangu kwa Watumiaji wa huu mtandao

    Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya...
Back
Top Bottom