watu wazima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Filamu 50 bora za watu wazima

    BEST 50 MOVIES FOR MATURED AUDIENCES πŸ”žβ€ΌοΈπŸ˜± Bookmark & Enjoy…….10/10πŸ˜±πŸ”ž 1. Gone Girl πŸ‡ΊπŸ‡Έ 2. Fight Club πŸ‡ΊπŸ‡Έ 3. Se7en πŸ‡ΊπŸ‡Έ 4. The Prestige πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡¬πŸ‡§ 5. Shutter Island πŸ‡ΊπŸ‡Έ 6. Inception πŸ‡ΊπŸ‡ΈπŸ‡¬πŸ‡§ 7. The Matrix πŸ‡ΊπŸ‡Έ 8. Parasite πŸ‡°πŸ‡· 9. The Handmaiden πŸ‡°πŸ‡· 10. Mulholland Drive πŸ‡ΊπŸ‡Έ 11. Perfect Blue πŸ‡―πŸ‡΅ 12. Timecrimes πŸ‡ͺπŸ‡Έ 13...
  2. Hii iende kwa content creators wote. MUHIMU sana hasa kwa sisi watu wazima

    Ukweli ni kwamba social media kwa sasa ukifungua, content nyingi ni video clips. Nyingi zao pia ni za comedy. Nazungumzia kitanzania. Zile za DIY kwa sisi bado. Sasa hapa kwenye bongo content kiukweli ndio shida. Hata sisi age go tunapenda kucheki content hasa kwa lengo la kuondoa stress...
  3. M

    Madubwi mashine za kamari zinazomeza pesa yapigwe marufuku yabaki Casino tu, Watu wazima wanalizwa na sasa watoto wanaiba hela wakacheze

    Hizi machine zipo mpaka vijiji ambavyo hujawai kudhania Mashine zinameza sana coin, ni chipu ya computer imesetiwa kumeza karibia asilimia 70 ya pesa zinazoingizwa na kutema asilimia 30 tu. ukiziona Klugger zina mchina basi kuna asilimia kubwa yupo safarini kuchukua coin zilizomezwa,
  4. D9 sio wazee, sio watu wazima, sio vijana, sio watoto kuna mungu kasema

    Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe. Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa. Ili kundi kuna siku tukija kushtuka familia za wao nazo zitatekwa. D9 ndio itakuwa machinjio ya kujuana kila aina ya...
  5. M

    Ni huzuni kuona watu wazima waliozaliwa kwenye familia zenye uwezo na zilizowajali wakipitia shida kwa sababu walipuuza fursa zilizokuwepo

    Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso. connection zilikuwepo za kazi...
  6. A

    KERO Wahitimu wa Desemba 2024 Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) hatujapewa Vyeti wala AVN Number

    Chuo cha Taasisi ya elimu ya watu wazima (IAE) kimekuwa na changamoto ya kuto kutoa AVN Number kwa wahitimu wake toka Mwaka wa masomo 2023/2024 na hakuna majibu mazuri yanayotelewa wakiulizwa.
  7. Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  8. Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  9. Singo maza acheni kuingiza watoto kwenye vita za watu wazima

    Yaan kunyimwa hela kidogo tu baada ya uombaomba kuzidi, tayari umeshamuweka mtoto wasapu sitatasi na ujumbe " furaha yangu ya kweli, wengine wote bagia tu nawanywea na chai" Sawaa Mimi bagia unaninywea chai, ila nawew kitumbua ninakinywea uji ..shwain kabisaa!!
  10. Hawa watoto ni hatari sana, wana Hisia kali zaidi ya watu wazima

    Sijui kama wanaigiza au wako Real lakini inagusa sana unaposikiliza ndani yako unaiona nia njema ya hawa watoto. Watoto hawa si tu waimbaji, bali ni vyombo vya Mungu vinavyoleta uzima kwa sauti zao. Walipoimba, kila neno lilijaa upendo, kila sauti iligusa moyo. Waliimba kama malaika...
  11. W

    Watu wazima mliofika 45+, ni rika gani kwa uzoefu wenu uwezo wa sex na ku enjoy huwa kwenye peak ?

    Ni rika lipi Sexual perfomance huwa juu zaidi 18 - 24 25 - 29 30 - 34 35 - 39 40 - 44 45 - 49
  12. Nimengudua watu wazima ni wakawaida tu, hakuna maajabu

    Ukiwa mdogo unadhan mkubwa wako anamajibu ya kila jambo, anajua sana, anNguvu n.k, ila kadri unavyokua unakuja kujua " Being adult means you are adults, and nothing else", ni mtu mzima ni mtoro aliekua tu
  13. Kesi ya Babu Seya inaniumiza sana kichwa

    Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo kutoka kwa mtu mkubwa.. Ni nani ambaye anaweza kunitatulia kitendawili hiki nafikiri hakuna mwenye...
  14. Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

    Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana! Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti? Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana...
  15. T

    Nimeshindwa kujizuia kwa wamama watu wazima

    Wadau habari za muda Mimi Sina mengi ya kusekma hapa lakini kuna ili moja naombeni ushauri wenu. Kiukweli Mimi nimekuwa muanga wa kuwapenda wamama watu wazima na hili ni kwasababu nilianza kufanya mapenzi na mwanamke aliyekuwa ananizidi kama miaka 20 hivi sasa toka kipindi hicho naona kama...
  16. "Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

    Sasa watu wangu wa nguvu hebu tusome bila hasira, bila ubaguzi, na bila kuegemea upande wowote. Leo nataka tuzungumze ukweli ambao wengi wetu tunaujua lakini hatusemi kwa sauti – labda kwa woga, labda kwa unafiki, au labda kwa sababu tunapenda kudanganyana kwenye mapenzi. But leo, truth gotta be...
  17. Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

    Huwa nikimuona mtu mzima anajisifia kuzaliwa Dar na kuwaita wengine washamba wa kuja namuona kama mtu mwenye akili fyatu, kubwa jingwa fulani hivi. Kipi hasa cha mtu kujivunia na kutambia wengine kuzaliwa Dar? Mtu mwenyewe anayejitapa unakuta ni chawa wa watu kutoka nje ya Dar au hana hata...
  18. Watu wazima, tuachane na mambo ya kitoto kwenye digital platforms

    Unajua bwana...! Kila jambo lina muda wake na kila jambo lina wakati wake. Unaweza ukajiuliza wakati ni nini na muda ni nini, natumai unaweza ukajijibu mwenyewe, ila kama utashindwa kujijibu itabidi ujiulize mara mbili kuweza kupata JIBU sahihi, unaweza ukapata JIBU lakini lisiwe JIBU sahihi...
  19. Zaidi ya Nusu ya Watu Wazima Duniani Kote Watakuwa na Uzito Mkubwa ifikapo 2050

    Zaidi ya nusu ya watu wazima na theluthi moja ya watoto na vijana duniani kote watakuwa na uzito mkubwa ifikapo mwaka 2050 hivyo kuongeza tishio la vifo vya mapema kwa mjibu wa utafiti ulichapishwa leo ource: Global Burden of Disease study 2021 unaonyesha kuwa kuna watu wazima bilioni 2.11...
  20. Hizi kesi za Mwanamke anataka mtoto asome shule ya gharama ilihali mwanaume hana uwezo, Je na nyie watu wazima wenzangu huwa zinawafikia?

    Habari za wakati huu ndugu wana Jamiiforums, Nimepokea kesi nyingi sana kutoka kwa vijana wakiume january hii, wengi wao malalamiko yako ni kuwa Wanawake/wake wanaoishi nao wanataka watoto wakasome shule za gharama (wengi ada ni 2.5M+), ilihali wao uwezo wao kiuchumi ni wastani na wakijikamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…