watu wasiojulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 V8 ya ‘watu wasiojulikana’ yachomwa moto Kimara na waandamanaji

    Aloooo, V8 imekula moto inateketea bila habari! Yaani leo tena hawa wasiojulikana wanaojulikana wajitokeze vizuri, ili wafichuliwe. Siku iishe watekaji wote nao wawe wamejulikana. IKiwa katikati ya barabara wananchi wamepiga moto V8 ya watu wasiojulikana.
  2. GE2025 Muliro na Mafwele walivyorekodiwa wakiongea na askari kuhusu maandamano. Wakiri kukamata watu, wawatishia kifo

    Wakuu, Haya nimewaletea kile chote alichosema Mafwele na Muliro kwenye kipande cha audio ya dk 9 walichorekodiwa na askari wakati wakiwaonya kuhusu kujihusisha na maandamano na kuripoti watu wanaojihusisha na maandamano au wanaoelekea huko ili washughulikiwe. Mbali na kuwakanya wamepewa na...
  3. GE2025 Ukivaa nguo za CHADEMA, au kuongelea maandamano unawekwa gerezani hadi uchaguzi upite, jishikilie huo mdomo mpaka MO29!

    Wakuu, Hiki ndicho kinaendelea wakati huu, ukionekana umevaa gwanda za CHADEMA au unajisogoze sogeza na kuwa na viashiria vya kuwa mwana CHADEMA unadakwa chap, wanakutia selo, ndugu zako wanaambiwa hutoki mpaka uchaguzi uishe, hivyo wajipange tu kukuletea chakula na mahitaji muhimu...
  4. Faiza Ally: Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na ‘watu wasiojulikana’

    Faiza Ally amedai kuwa mfanyabiashara Niffer amepigwa sana na amechukuliwa na watu wasiojulikana, Niffer ambaye kwa siku za ivi karibuni amekuwa akionekana kucheza Challenge Nywinywi katika kurasa zake za mitindao ya kijamii.
  5. GE2025 Kenan Kihongosi: Gwajima anafanya upotoshaji na uchochezi

    Katibu Mwenezi wa CCM, Kenani Kihongosi amesema Askofu Josephat Gwajima anatumia dini kupotosha umma pamoja na kufanya uchochezi.
  6. GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  7. Mchungaji wa KKKT, Elieth Mtaita ametekwa usiku wa Oktaba 24 na Watu wasiojulikana

    Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana. Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake Taarifa...
  8. W

    GE2025 Mama Ramso: Yapata wiki mbili sasa wananizungusha tu lakini mwanangu sijamuona. Naomba mnisaidie apatikane

    Ramso ni msanii wa vichekesho na mtoto wa pekee kwa mama yake, ambaye inasemekana ametekwa na watu wasiojulikana baada ya kuposti video akimtaka Rais Samia ajiuzulu kwani hakuna anayemtaka. Mama yake ametoka hadharani kuomba msaada wa mwanaye kupatikana ikiwa ni wiki mbili toka mwanaye...
  9. GE2025 Kwanini tunasema kuna mtu mwingine anaendesha nchi? Hatuamini Samia anaweza kuwa ndio msimamia shoo mwanzo mwisho?

    Wakuu, Kumekuwa na hizi assumption kutoka pande mbalimbali kwamba Samia yupo tu kama geresha na nyuma yake ndio kuna mtu ambaye hasaaa ameshika usukani na kuamrisha kete zipelekwe kule ambako anataka yeye zifike! Hivi ni kwanini tunafikiria haya, kwanini tunaona kama Samia hawezi kuwa...
  10. Godbless Lema alalamika kufuatiliwa na watu wasiojulikana, aitaka Serikali Kuchukua Hatua Kulinda Usalama wa Raia

    Godbless anadai amekuwa akifuatiliwa na watu wasiojuilikana, Lema ameandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ujumbe huu.... Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa nikifuatiliwa na watu wasiojulikana wanaotumia gari ambalo limekuwa likizunguka maeneo ninayoishi na kufuatilia mienendo yangu...
  11. Mzazi: Nilipigiwa simu kuwa mwanangu amekamatwa na watu wasiojulikana, baada ya hapo nikapigiwa simu miili minne imeokotwa

    Kufuatia taarifa ya Jeshi la Polisi iliyotolewa Alhamisi, Oktoba 16, 2025, kuhusu kupatikana kwa miili ya watu wanne kando ya barabara ya Mapinga, Kibaha miili hiyo ilionekana kuwa na majeraha usoni na miguuni. Global TV ilifunga safari mpaka kwa mzazi wa mmoja wa marehemu, Ashura Simba, mama...
  12. M

    GE2025 Askofu Ruwa'ichi: Hatusikii walioapa kulinda Uhai wa Watanzania Kulaani au Kukomesha Utekaji na Kutoweka kwa watu

    Askofu Ruwa'ichi akizungumza katika Misa ya Takatifu ya Hija ya UWAKA kuwategemeza Masista wa Shirika la Dada Wadogo Visiga Pwani, jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam amesema kuwa utekaji mbalimbali unaotokea nchini unaendeshwa na kikundi Maalum mpaka wananchi kufikia kujiuliza iweje kikundi hiki...
  13. GE2025 Kazi ya Polisi na Vyombo vya Uchunguzi ni nini kama mtu akitoa taarifa anatakiwa atoe ushahidi?

    Wakuu, Yaani sielewi hiki kitu kabisa, mtu anapotoa tuhuma za jambo fulani kazi yake inakuwa imeisha, sasa ni kwa polisi na/au mamlaka husika kwenye tukio hilo kufanya uchunguzi na kuthibitisha kama jambo husika ni kweli au lah. Na ndio maana mtu anakuwa hana hatia mpaka pale itakapothitishwa...
  14. GE2025 CHADEMA: Toka Oktoba 1 hadi 9, 2025 wametekwa watu 13! Ni karibu watu wawili kila siku!

    Salam Wakuu, Hali imezidi kuwa mbaya nchini aisee! Yaani kila siku wanatekwa watu wawili, tumekuwa nchi ya ajabu sana! Na hawa ni wale wanaorekodiwa, halafu kuna wale ambao wanapotea kimyakimya taarifa hazifiki mtandaoni! Tuendelee kuchukua tahadhari na kujilinda huku tukikosoa yanayofanyika...
  15. GE2025 Msanii wa Vichekesho, Ramso atekwa na 'watu wasiojulikana'. Aliposti video akimtaka Samia ajiuzulu

    Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais Samia Lakini leo tarehe 8 October kuna video hii inasambaa kuwa kijana anatafutwa, haonekani alipo...
  16. GE2025 Kawaida: Polepole ameamua kuichezesha familia, madai ya kutekwa ni kuishiwa mbinu za kuichafua dola

    Ameandika Chawa wa CCM na Mwenyekiti umoja wa vijana wa UVCCM Mohamed Kawaida Kupitia ukurasa wake wa Instagram. My take Taifa lina kijana kama huyu ambaye uwezo wake wakufikiria umeishia hapa hakika mwisho wake sio mzuri. "Inaelekea Polepole ameamua kuichezesha familia yake filamu...
  17. Morogoro: Kijana Rogers Ludovick adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana

    Wakuu, Kupitia ukurasa wake Instagram Maria ameandika kuwa kijana Rogers Yohana Ludovick ametekwa Oktoba 7, 2025 katika eneo la Dumila, Kilosa mkoani Morogoro. Tukio hilo lilitokea majira ya saa saba mchana baada ya gari jeupe aina ya Land Cruiser lenye namba za usajili T324 ELK kufika ofisini...
  18. Watu tumekosa usingizi kutokana na uchungu wa kutekwa Polepole, Gen Z msipotoka kuandamana mtakuwa mmeliangusha taifa!

    Aloooo, Kama ulikuwa hujali wala huumizwi na matukio ya utekaji, na kuona hayajuhusu nadhani hilo limebadilika kuanzia jana. Nimepita mtandaoni maoni yanafanana, watu tumeshindwa kulala, usingizi unakuja wa mang'amung'amu, moyo unauma kama vile aliyetekwa ni mtu wako wa karibu. Unajikuta...
  19. GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

    Sina maneno mengi. Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu. Inafahamika, nyie hamuegemei popote. Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na...
  20. Watu wasiojulikana tunaoamba msiwe na upendeleo, hebu mkamateni Tesha anamletea nywi nywi mama yenu

    Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia kizi tunaoamba watu msiojulijana msiwe na upendeleo hebu kamtekeni Tesha analeta nywi nywi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…