watu walikufa kwenye maandamano okt29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    PostGE2025 Mwigulu: Wanasema walikufa watu Elfu 10, Ulikuwepo?

    Waziri Mkuu wamchongo anaendelea kutuchamba kama, boss wake mwingine Hii serikali ya mchongo inahuzuni sana wanatuona kama watoto wao nyumbani =============== Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watu wenye nia ovu wanafanyia biashara maisha ya Watanzania kwa kuzusha taarifa za uongo.
  2. Mafyangula

    PostGE2025 Aunty Lulu: Najutia kuhamasisha maandamano, sikujuwa kama zingetokea fujo na kusababisha vifo vya ndugu zetu

    Moja ya kitu ninacho kijutia katika maisha yangu ni kupost na kuhamasisha maandamano kwa mimi nilivyojuaga watu wanashika mabango barabarani na sikujuwa kama ilivyotokea, ndio maana niliitisha press kuwashauri wezangu tusifanye maandamano siku ya tarehe 29 tutafute siku nyingine, licha wengine...
  3. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba: Kuna Tatizo Gani Serikalini Hadi Tunashindwa Kuiambia Dunia Taarifa za Vifo na Majeruhi wa Mwezi Moja Uliopita?

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Jana, tarehe 23 Novemba 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu takwimu rasmi za matukio ya vifo na majeruhi vilivyotokea katika wiki ya uchaguzi mkuu 2025, na ambazo zimerekodiwa kwenye vituo vya serikali. Gerson Msigwa...
  4. Genius Man

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe

    Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
  5. Teslarati

    PostGE2025 Hatimaye BBC Verify wamethibitisha ukatili uliofanywa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wake kupitia teknolojia ya hali ya juu ya Geolocation

    BBC News official channel yao wamepost leo kwamba clips zilizopo mtandaoni ni za kweli na ukatili (uhaini) dhidi ya watanzania ulifanyika. Video iliyorekodiwa nchini Tanzania imeibuka ikionyesha vitendo vya ukatili vilivyofanywa na polisi walipojaribu kukandamiza maandamano makubwa mwezi...
  6. The patriot man

    Kumtetea mama kwa kipindi ni kazi kubwa sana je tutegemee nini?

    Aisee kumtetea mama ni kazi sana tena sana kwa video ya leo niliyoiona mhh ni hatari sana sasa sijui mama atakujaje maana huwezi mrudisha mtu aliyekufa... Afanye yafutayo 1.Aje hadharani akiri kabisa kuwa police walikosea kufanya hivyo na akubali kuwajibika 2.Atoe full support kwa family...
  7. R

    PostGE2025 Heche: Kuhusu watu wetu waliouawa halitafichwa chini ya uvungu hata mawe yatazungumza

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasiia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Novemba 12, 2025 baada ya kuisha kusikilizwa kwa kesi ya Uhaini ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu, amesema kuwa Kuhusu jambo la watanzania kuuawa Oktoba 29 haitafichwa bali litazungumziwa Pia...
  8. Mafyangula

    GE2025 Mfanyabiashara wa Kariakoo, Sherry afariki dunia kwa kupigwa Risasi na Polisi

    Itazame hii pisi jamani imepigwa risasi na hii mijitu isiyo na huruma kabisa! Pumzika kwa amani damu yako na za watanzania wengine zitaungana kulipa dhuluma ya uhai huu kwa magaidi ya nchi hii! Kutoka kwenye Page ya IG ya Twaha Mwaipaya Mfanyabiashara wa Kariakoo Sherry amefariki kwa kupigwa...
Back
Top Bottom