watu wabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  2. S

    Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  3. Waufukweni

    GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  4. W

    Polepole asema watu wabaya CCM wanajulikana

    Humphrey Polepole ameeleza kuwa watu wabaya CCM wanajulikana. Amesisitiza chama kinapaswa kuhakikisha watu wabaya na wahuni hawaingii kwenye mchakato na chama kinawajua. "Urekibishaji unaanza kuhakikisha kwamba hakuna watu wabaya na wahuni wanaingia kwenye mchakato na chama kinawajua mbona hili...
  5. excel

    Ila madalali watu wabaya sana! Kuwa makini sana unaponunua vitu ukiwatumia madalali

    Madalali ni watu wabaya sana. madalali hawana UTU kabisa. ...... Usipokuwa makini Dalali anaweza kukuuzia kitu cha laki 1 kwa shilingi laki 3 ....
  6. Knock life

    Hii ndo sababu maalumu kuwa kwanini watu wema huwa wanakufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi

    NB Nitakayoandika hapa ni kutokana na Imani yangu na utafiti wangu. "Kwanini watu wazuri hufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi ". Hapa dunia kuna kitu kinaitwa Purpose ( Kusudio) na ndani ya hilo kusudio there's a mission kuna mission ambayo binadamu amekuja kuifanya hapa duniani...
Back
Top Bottom