Kwa nini masikini wengi katika nchi hii, wengi wao ni wale wapenda CCM?
Mapagala mengi ya wananchi masikini, ndio yaliyojaa bendera za CCM mijini mpaka vijijini cha ajabu ni kwamba, wana CCM wenye uwezo mzuri, hawana hizo bendera kwenye nyumba zao!
Na masikini wengi ndio waliozaliana kwa wingi...