watu mashuhuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  2. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Waziri unaita wasanii na watu mashuhuri unagawa 50,000? What a shame

    Katambi hizo 50,000 si muingize kwenye Mikopo kwa Vijana ? Nani aliekupa hiyo idea ya kuwagawia wasanii na influencer 50,000 ? Hivi CCM mna pesa za kuchezea sana ee
  3. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Watu mashuhuri 10 waliopendwa sana na hayati Magufuli katika utawala wake wa awamu ya 5

    Leo nimekumbuka utawala wa awamu ya tano chini ya Jemedari hayati John Pombe Magufuli. Nakuletea watu mashuhuri (Viongozi) waliopendwa sana na hayati Magufuli katika utawala wake. Orodha hii haiwahusishi viongozi wakuu ambao ni aliyekuwa Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika na Jaji Mkuu. Orodha...
  4. pulex

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana viongozi wa upinzani na watu mashuhuri kukamatwa tarehe 26-28

    Tarehe 26-28 watakamatwa viongozi wote wa Upinzani! Watu wenye influence kwenye Jamii Watafungiwa Kigamboni na Kivule hadi Uchaguzi wao feki uishe! Wanaogopa maandamano, ni maelekezo tayari wametoa. My take: Hawa jamaa wamepanick, kukamata hao watu ni sawa na kwenda kuchochea moto zaidi...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Bacha Bazi Afghanistan jimbo la Kandahar na kwingineko: Wavulana wanavyoolewa na matajiri

    Historia ya tabia za jinsia moja katika Kandahar na maeneo ya Asia ya Kati: Katika baadhi ya jamii za kihistoria, hasa zile zenye mfumo wa kijeshi au wa wanaume pekee (patriarchal), kumekuwa na ripoti za mahusiano ya kimapenzi baina ya wanaume. Katika baadhi ya sehemu za Afghanistan (ikiwemo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini

    Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO. 4 Keir - Waziri Mkuu UK, 5. Kagame - Rwanda, 6. Museveni - Uganda. 7...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Watu mashuhuri mnaopenda show off za magari mamlaka zinawatamani sana.

    Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na wanachukia mnavyojificha kwenye kivuli cha chawa wa mama. More Focus ni kwa wale mnaofanya import...
Back
Top Bottom