watu kutekwa na kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    John Malima adaiwa kutekwa. Watekaji walimfuata kwa gari Pugu, kituo cha Daladala

    JINA: John Cliford Malima Taarifa zilizosambaa/Madai: Alitekwa siku ya Jumapili baada ya kupigiwa simu. Watekaji walimfuata kwa gari Pugu kituo cha daladala Kazi yake: Mwinjilist Kanisa la Sabato, Kigogo Fresh
  2. Mafyangula

    PostGE2025 Mwanachama wa CHADEMA, Victor Ndibalema, Achakuliwa kwa nguvu na Watu Wenye Silaha Arusha wakidai kumpeleka Central

    Siku zinavyozidi kwenda hali inakuwa mbaya sana! Kijana mdogo kabisa huyu wamemteka so said Sasa kwanini vijana wasiandamane kwa hali hii ilivyo. Tunaishi kwenye nchi kwa hofu kubwa kama si nchi yetu Samia jiangalie sana katika utawala wako huu! =============== Watu wenye silaha, waliovalia...
  3. MchunguZI

    Utekaji, Mauaji hatimaye tunaanza kupata wahusika wakuu

    Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri. Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki...
  4. Mafyangula

    PostGE2025 Admin wa group la umoja wa Madaktari Tanzania atekwa

    Majina kamili: Furaha Kibaba Michael (MD) Ajira:Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Geita. Kwasasa alikuwa anafanya kazi ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa Geita(RMO) kama Mratibu wa Malaria (Regional Malaria Coordinator) . Kutekwa kwake. Jana 17/11/2025 majira ya jioni (saa kumi) alikuwa Geita mjini katika...
  5. Mafyangula

    PostGE2025 Engineer Charles Werema adaiwa kutekwa 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale

    Tumepokea taarifa za kutekwa kwa mwenyekiti wetu wa tawi la Madale na mgombea udiwani wa kata ya Wazo 2020, Jimbo la Kawe Eng. Charles Werema._ Taarifa tulizopewa zinasema Eng. Werema ametekwa leo tarehe 12/11/2025, muda wa saa 7 mchana ofisini kwake Madale. Habari zinasema kuna watu walifika...
  6. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Ole Sendeka: Utekaji ni jambo la ovyo, na tunapaswa kufahamu ni nani anafanya hivi

    Mwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini. Sendeka ameyasema hayo wakati akizunguma katika mkutano na waandishi wa habari...
  7. Determinantor

    Muda huu unapopanda kitandani kulala, kuna familia haijui alipo mpendwa wao

    Haya mambo yasikie Tu kwa wengine, muda huu unarudi zako nyumbani, utapokelewa na Watoto, HG na Ndugu Wengine pengine ila mahali fulani, wakati kama huu, kuna Wapendwa wetu wanamtafuta Ndugu Yao ambaye ametoweshwa na chombo cha dola kilichotakiwa kuulinda uhai wake. Ni ngumu sana kama familia...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

    Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji? ================== Jeshi la Polisi...
  9. Erythrocyte

    Aisha alipigwa, kuvuliwa nguo zote na Kurekodiwa, Na kwamba akisema kwamba alitekwa Picha zake zitavujishwa Mitandaoni na kumuua

    Hapa ndipo Tanzania ya Nyerere ilipofikishwa na Watukufu aliowaachia ambao wamejipa Uungu Mtu, Ngoja tuone Mwisho wao. ================ Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Aisha Machano, ambaye anadaiwa kutekwa na kuteswa na baadae kuokotwa kwenye pori la Kibiti, akizungumza tukio...
  10. Nyendo

    PreGE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

    Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Chalamila: Mabinti na Vijana wanajiteka wenyewe, taarifa zikifika kwa vyama vingine wanadhani kwamba amani imetoweka!

    Wakuu, Wanasema watu wanajiteka huku hamna tishio lolote nchini la watu kujiteka! CCM mnataka kuzidisha watu hasira zaidi ya hivi hali ilivyo sasa!
  12. M

    CHADEMA muda upo upande wenu sana, hakikisheni mnaandaa maandamano tena na tena mpaka yafanyike kwa mafanikio

    Salamu kwenu wanaCHADEMA Nakupeni pole na kuwapa pole wabongo wenzangu kwa matendo ya utekwaji na mauaji ya wananchi wasio na hatia. Kwa kweli nchiyetu kwa sasa hali inatisha, ombea usiingie katika mikono ya hawa chinjachinja, wauaji ambao mikono yao imeloa damu. Niwapeni pongezi kwa jitihada...
  13. Mystery

    Tunawasikia watawala wakiomba watanzania tutunze amani yetu. wakati hadi sasa hatujapata majibu sahihi ya watu kutekwa

    Kuna "contradiction" ya hili neno amani namna inavyotafsiriwa na hawa watawala wetu, wakati mambo yanayoendelea hapa nchini, mara Kwa mara tunawasikia watawala wakirudia msemo huu wa kuwaomba watanzania tutunze amani yetu tuliyojaaliwa na Mungu Kwa nguvu zote, wakitolea mifano wa nchi nyingine...
  14. Determinantor

    kwa Mara ya Kwanza KKKT tumesomewa barua kutoka kwa Askofu ikilaani utekaji

    Maisha yanaenda faster Sana Sana, Leo nimesali usharika WA KKKT hapo Tegeta. Kwenye matangazo tumesomewa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Kanisa KKKT Askofu Dr Malasusa akilaani utekaji na Kwamba Hali inazidi kuwa mbaya. Sijafanikiwa kupata nakala yake ila nimeamini usimkatie tamaa MTU, sikuwahi...
  15. comrade_kipepe

    Kada wa CCM amwagiwa tindikali

    KWAMBA WASIOJULIKANA HAWACHAGUI WA KUWADHURU? AU TUNAJARIBU KUBALANCE MAMBO DAKIKA ZA JIOOOOOOOOONI, KUELEKEA SEPTEMBER 23 —— Watu wasiojulikana wanadaiwa kumvamia na kummwagia kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali, kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Idrissa Makishe...
  16. S

    CHADEMA: Khamis Omary amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali Polisi walisema hawajamshikilia katika kituo hicho

    Habari hii ni kwa mujibu wa John Mrema kupitia mtandao wa X. Baada ya siku 14 za kuzungushwa kwenye vituo mbalimbali vya polisi akiwa amefungwa kitambaa usoni ,hatimaye Leo Khamis Omary Khamis amepatikana akiwa kituo Cha Polisi Chato, ambako awali polisi walisema hawajamshikilia katika kituo...
  17. milele amina

    Hatma ya Raia kuzuia Polisi kuwakamata raia kuwapeleka vituo vya polisi wakihofia kutekwa

    Hali ya raia kuzuia polisi kukamata watu nchini Tanzania ni jambo linaloweza kuashiria mabadiliko makubwa katika mfumo wa utawala na usalama wa raia. Katika kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na matukio kadhaa ambapo wananchi wamejitokeza kuzuia polisi wasiwakamate watu, ikiwemo waandamanaji...
  18. The Palm Beach

    Mwaipaya: Hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana tukiamua kutafuta haki yetu barabarani

    Duuh, jamaa ana uchungu,katema cheche hatari. Ana hasira na yuko tayari kwa lolote.... Katibu mwenezi BAVICHA Taifa Twaha Mwaipaya amesema hakuna Jeshi la Polisi litaloweza kutuzuia vijana tukiamua kutafuta haki yetu barabarani. Ameyasema haya alipokuwa akichangia hoja katika kongamano la TCD...
  19. R

    Watekaji wadhibitiwe kabla ya kuhamia kwa wenye fedha/matajiri na RAIA wa kigeni!

    Wanaoteka wana shida na pesa kwa sababu hata wao wanamahitaji. Ninachokiona sasa ni kuwepo uwezekano wa wahuni wachache kuanza kukamata wafanyabiashara na RAIA wa kigeni kisha kuwalazimisha wawape fedha. Mifumo ya uhalifu duniani imejengwa kwenye uporaji wa mali na fedha. Mtu ambaye anaweza...
  20. Gabeji

    Haki huinua taifa MITHALI 14:34 Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti. (CPCT) mko wapi?

    Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa? Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
Back
Top Bottom