watu kutekwa na kuuawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Haki huinua taifa MITHALI 14:34 Umoja wa Makanisa ya Kipentekosti. (CPCT) mko wapi?

    Bwana yesu asifiwe watumishi wa wa Mungu? Tumeona mabaraza mbalilmbali ya viongozi wa kidini viki paza sauti zao bila uoga juu ya mauwaji, utekaji, kumizwa? Lakini hiki chombo muhimu( CPCT), SIJAWAI SIKIA tangu nizaliwe almost 50 years kukemea, kuonya, kushauli, kupendekeza jambo juu ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Malasusa: Mambo ya Utekaji yafike mwisho nchi inalaanika Damu zinavyomwagika, Dkt. Biteko Wanasiasa kaeni chini msikilizane!

    Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amemuomba Naibu waziri Mkuu Dr Biteko wafanye kila wawezalo kumaliza tatizo la watu kutekwa na Kuuawa Dr Biteko anawakilisha Serikali kwenye mazishi ya Askofu Dr Sendoro wa Mwanga Askofu Dr Malasusa amesema hali ni mbaya ikiwa ni pamoja na Ongezeko la ajali za...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yataka uchunguzi huru mauaji, utekaji

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Septemba 16, 2024 akiwasili katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa mkoani Geita. Picha na Bakwata Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limeungana na wadau wengine kusisitiza uchunguzi huru dhidi ya matukio ya utekaji na mauaji ya raia. Kauli ya...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitumike kufunika suala la watu kutekwa na kuuawa

    Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi. Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
  5. EEM M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na pole ya Spika Tulia kwa familia ya Mzee Ally Kibao. Je, sasa bunge litajadili hoja ya watu kupotea?

    Wasalaam Watanzania! Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda. Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala sijawahi kugombea nafasi yoyote ile katika chama chochote cha siasa bali ni muumini wa HAKI na Viongozi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!

    Zitto Kabwe amesema Haikubaliki Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea Kutekwa na Kuuawa Jukumu la msingi la Dola lolote Duniani ni Kulinda Uhai wa Watu wake Hakuna Taifa Bila Watu Zitto Kabwe amehuzunika ukurasani X Baada ya taarifa za msaidizi wa Mnyika Soma Pia: Ally Hapi...
Back
Top Bottom