watu kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafyangula

    PostGE2025 Malisa: Jana usiku wa saa nane watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Tumeripoti polisi

    Ameandika Malisa kupitia ukarasa wake mtandaoni; "Nasikitika kuwajulisha kuwa jana majira ya saa 8 usiku (kwa saa za huko nyumbani) watu wenye silaha walivamia nyumbani kwa wazazi wangu, kijijini Old Moshi Kidia. Kabla ya uvamizi huo watu hao walionekana wakiwa na gari mbili (Landcruizer)...
  2. Mhaya

    Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  3. Afisa_Nkai

    Exaud Gaspery Mroso. Ni mhitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe atekwa akiwa chuoni

    Pichani ni EXAUD GASPERY MROSO. Ni mhitimu wa LLB Chuo Kikuu Mzumbe. Ameripotiwa kuchukuliwa na watu wasiofahamika akiwa eneo la chuo hicho katika eneo la BOHARI (KINGALU). Alienda Chuoni hapo kwa ajili ya kuhudhuria mahafari ya kuhitimu elimu ya Chuo kikuu yanayofanyika chuoni happ siku ya...
  4. B

    PreGE2025 Rais Samia: Nalielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea

    Pongezi nyingi kwa jeshi la polisi kwa nzuri wanayofanya, hatuna budi kutambua kwamba uhalifu unaozuiliwa na jeshi la polisi ni mkubwa kuliko unaofanyika. kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani imeongezeka. Jambo ambalo hatujafanikiwa vya kutosha ni ajali za...
  5. kyagata

    Hivi Mzee Freeman Mbowe mbona hakemei matukio ya watu kutekwa?

    Wakuu, huyu mzee wetu Freeman Mbowe toka astaafishwe kwa nguvu uenyekiti wa chadema,sijamsikia akitoa kauli yoyote kuhusu mwenendo wa matukio ya utekaji hapa nchini. Je ameamua kutudhira watanzania?
  6. Parabolic

    PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
  7. Mr Why

    PreGE2025 Spika Dkt. Tulia: Huwezi kusema mtu katekwa kama hukuona

    Majibu fikirishi kutoka kwa Mh Tulia Ackson kuhusiana na kupotea kwa Mh Mdude Nyangal, mwanachama wa CHADEMA Spika na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Tulia Ackson akifafanua hoja ya Bunge kutotoa maelekezo kuhusu uwepo wa matukio ya Watu kudaiwa kutekwa na wengine kupotea Nchini, amesema hiyo...
  8. Lord Denning

    Tuliombe Bunge la EU kupiga kuiomba ICC waanzishe uchunguzi wa Watu kutekwa, kuuawa na kupotezwa Tanzania

    Watanzania wote naomba twende kwenye pages za Bunge la EU kwenye mitandao ya kijamii tuwaombe hiyo kesho kutwa baada ya mjadala wao watoe azimio kuiomba Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kuanzisha uchunguzi dhidi ya; 1. Rais wa Tanzania; 2. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Watu wanatekwa na kupotea kama sindano Nchini

    Askofu Bagonza aeleza namna 4R za Rais Samia Suluhu Hassan zilizotekwa na baadhi ya watu kwa kushindwa kuzifuata kama alivyokuwa akitaka Rais zifuatwe. Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya...
  10. Mtoa Taarifa

    Gerson Msigwa: Zaidi ya 80% ya taarifa za utekaji hazina ukweli

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema matukio yanayoripotiwa Polisi kuhusu utekaji nchini mengi yanabainika kuwa ni ya uongo. "Kuna matukio yanatangazwa kwenye mitandao na vyombo vya Habari mtu katekwa, nataka nikwambie katika matukio yote yaliyoripotiwa polisi kwa mfano, zaidi ya...
  11. econonist

    Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
  12. F

    Ni aibu kwa Polisi kuendelea kuzingira ofisi za CHADEMA wakati kuna uhalifu wa watu kutekwa unaendelea

    Jeshi la Polisi Tanzania limeonekana likizingira ofisi za CHADEMA Mikocheni hadi leo hii sijui sababu hasa za kufanya hivi ni nini. Kuna matukio mengi ya uhalifu yanaendelea nchini ni vyema polisi wakasambazwa kushughulikia matukio haya kama walivyasambazwa kushughulika na waandamanaji.
  13. Doctor Mama Amon

    Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  14. K

    "Samia must go" kampeni iliyofeli baada ya kutamkwa

    Wengi hatufurahishwi na kinachoendelea nchini kwasasa. Utekaji na mauaji kwa watu wasio na madhara kwa serikali ni uonevu na kujiabisha kama nchi. Hili lazima lidhibitiwe Huenda yanayosemwa ni kweli kwamba nchi nyingi duniani zinautaratibu wa namna ya kushughurika na watu ambao ni threat kwa...
  15. Komeo Lachuma

    Yanga tusitumike kufunika suala la watu kutekwa na kuuawa

    Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi. Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
  16. T

    Watekaji wanamharibia Rais Samia pamoja na kazi hizo nzuri anazozifanya

    Dr Samia Suluhu Hassan tokea alipoapishwa kuwa Rais baada ya kifo cha Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli amekuwa akifanya kazi kubwa sana katika kuijenga Tanzania mpya huku akionyesha uwezo na ujasiri mkubwa katika kulinda maslahi ya taifa. Rais anaijenga Tanzania mpya ya watu...
  17. S

    Wanaotesa mpaka kuua, huwa wanavuta bangi kwanza au wanaua kavukavu bila kupata chochote cha kuwaondolea ubinadamu na eneo huwa ni sound proof?

    Jamaini sijui kama wenzangu huwa mnajiuliza hawa watekaji huwa wanafanya hii kazi ya kupiga mpaka kuua katika mazingira gani na wao wenye mentally huwa wanakuwa katika hali gani. Najiuliza binadamu wa kawaida unaweza ukashika nondo, kitako cha bunduki, kisu, n.k na ukaanza kumpiga au kumchomo...
  18. N

    Wanafunzi wanaosoma sayansi ya siasa (political science) UDSM walaani utekaji na mauaji

    Taarifa ya tamko inaeleza kama ifuatavyo👇
  19. USSR

    TBC mizani: Mada vitendo vya utekaji; Nini kinaendelea?

    Yupo Mzee Wasira, Majid Mjengwa, Hamadi Rashidi. Muongozaji ni Dkt. Ayub Rioba. Karibuni sana Updates.... Stephen Wasira Rais Samia Suluhu Hassan amesema tufanye uchunguzi wa vitendo vya utekaji, nami nakubaliana naye kuwa tuchunguze. Na tukichunguza, Watanzania watatuuliza uchunguzi huo...
  20. Gulio Tanzania

    Kwanini wanaotekwa wengi huteswa kwanza kabla ya kuuawa?

    Nimekaa nawaza kwanini watekwaji wanakufa vifo vya kuteswa sana mpaka kiasi cha kufikia hatua ya kupigwa nondo mpaka kufa? Lengo la watekaji huwa nini Kuna taarifa gani huwa wanazitaka kutoka kwa mtu waliomteka? Kama mtu atateswa na kutoa siri Kuna haja gani ya kumpoteza uhai wake? Lengo la...
Back
Top Bottom